Tetemeko laipiga Morocco, zaidi ya Watu 2000 wafariki Dunia, majeruhi waongezeka

Suala la msaada halina uzio wa kiimani.

Hata walio makanisani na mapangoni wajitokeze kusaidia
 
Ndugu mwandishi tukusaidiaje ulitaka tuende morroco kuchangia damu,,,, huna lolote unajificha udini umekutawala pole sana .
 
Ngoja tupeleke Damu yenye rutuba ya mdudu
 
Unazungumzia wakati waliokufa wakiwa 200 Wenzako wanakuletea habari za wafu zaidi ya 900
 
Dah majanga ya asili ni yetu sote! Mungu wa Mbinguni awanusuru walioumia; awape faraja walionusurika; na awapokee kwake waliotutangulia. Amen.
Mungu huyo hawajibiki na kuzuia tetemeko lisitokee!?
 
Pole kwa ndugu zetu kutoka Morroco waliokumbwa na janga hili
 
Ukila utaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…