Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wafrika mmelogwaLikija suala la msaada waafrika hatuna kwani kuna watu wanaona bora kumtajirisha mtu anaewadanganya kuwa pepo ni yao ila masikini kipofu aliekaa barabarani anampita kama hamuoni