Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ligi kuu tz itawabeba sana azamKumekuwa na uvumi kuwa kampuni ya Azam Tv wameamua kutokuongeza tena mkataba wake wa kuonyesha ligi kuu ya Uhispania, maarufu kama La Liga. Hivyo kufanya chaneli yao ya Azam Sports HD iliyokuwa ikitumika kurusha matangazo ya mechi za Laliga kujikita zaidi kuonyesha ligi ya VPL.
Inadaiwa hasara imekuwa kubwa, matangazo wanayanunua kwa bei kubwa sana, huku wakiuza kwa bei rahisi kwa wateja wao.
Hizi bado ni fununu hazijathibitishwa, ila ikiwa ni kweli, nawaona Dstv wakizidi kutunyonya kwani lazma watapandisha chaneli yao ya michezo ya Laliga kwenye vifurushi vya juu!
Ngoja tuone Azamtv wakithibitisha ukweli wa tetesi hizi!
Sasa kama La Liga tu wameshindwa (kama kweli) kwasababu ya gharama ndo wataweza Premier League?Wahamie EPL mazima hawatajuta na watakuja kunishukuru baada ya msimu mmoja tu ila wasipandishe bei ya vifurushi
Hiyo la liga tu wapate hasara, ndio wathubutu kwenye epl?!!! Kwa hivi vifurushi vya 18,000-28,000?!!kwanza hiyo haki tu kuipata ni balaa!! Kama unakumbuka kampuni ya G-TV, walikuwa wana bei ya 46,000,mbona hata msimu haukuisha wakachemka,??? Sio rahisi ki hivyo.Wahamie EPL mazima hawatajuta na watakuja kunishukuru baada ya msimu mmoja tu ila wasipandishe bei ya vifurushi
Wahamie EPL mazima hawatajuta na watakuja kunishukuru baada ya msimu mmoja tu ila wasipandishe bei ya vifurushi
Kashindwa na StarTimes
Naona hata DSTV naye kajirudishia ESPNStartimes ndio wameshinda kwa ukanda huu?
Ndio
Naona hata DSTV naye kajirudishia ESPN
Hata Serie A siyo mbaya.Ok, ila Azam angetuwekea hata Bundseliga
Laliga na Messi nani ana mmliki mwenzake?Ila piakama Messi atahama Laliga itazidi kupoteza mvuto