Tetesi: Azam Tv kutoonyesha La liga msimu huu

Duuuh kumbe kuulizwa ni makosa, nimekushangaa
Tatizo maswali yenu mengine tunayaona kama vile kero.
Umeniuliza wanaonyesha chanel ipi nimekutajia. Halafu unauliza tena je wametangaza?


La Liga msimu huu haionyeshwi AzamTv.
Mtaangalia Bundesliga.
Taarifa hii nimepewa na jamaa yangu anayefanya kazi kule Azam Tv.


Una swali lingine?
 

Acha kudanganya watu, Azam hatorusha Bundesliga
 
Tutaelewana tu. Mitano tena hadi 2025, La liga hamna na bado kulipia tsh 28000 azam huwezi. Mm naweka bando langu siku ikicheza Atalanta au juventus tu. Hizo mechi nyingine nasubiri matokeo kesho
 
ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…