Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kama hauamini basi.Wametangaza au ni tetesi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauamini basi.Wametangaza au ni tetesi?
Kama hauamini basi.
Tatizo maswali yenu mengine tunayaona kama vile kero.Duuuh kumbe kuulizwa ni makosa, nimekushangaa
Tatizo maswali yenu mengine tunayaona kama vile kero.
Umeniuliza wanaonyesha chanel ipi nimekutajia. Halafu unauliza tena je wametangaza?
La Liga msimu huu haionyeshwi AzamTv.
Mtaangalia Bundesliga.
Taarifa hii nimepewa na jamaa yangu anayefanya kazi kule Azam Tv.
Una swali lingine?
Weka bimaAcha kudanganya watu, Azam hatorusha Bundesliga
ngoja tuoneKumekuwa na uvumi kuwa kampuni ya Azam Tv wameamua kutokuongeza tena mkataba wake wa kuonyesha ligi kuu ya Uhispania, maarufu kama La Liga. Hivyo kufanya chaneli yao ya Azam Sports HD iliyokuwa ikitumika kurusha matangazo ya mechi za Laliga kujikita zaidi kuonyesha ligi ya VPL.
Inadaiwa hasara imekuwa kubwa, matangazo wanayanunua kwa bei kubwa sana, huku wakiuza kwa bei rahisi kwa wateja wao.
Hizi bado ni fununu hazijathibitishwa, ila ikiwa ni kweli, nawaona Dstv wakizidi kutunyonya kwani lazma watapandisha chaneli yao ya michezo ya Laliga kwenye vifurushi vya juu!
Ngoja tuone Azamtv wakithibitisha ukweli wa tetesi hizi!
Jana wameonyesha?ngoja tuone