Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa matokeo yake huwa ni mabaya sana. Marekani inaweza jiongoza bila Rais kwanini? Niuwajibikaji wa hii idara.
Taifa lolote lenye nguvu duniani halina mtu mwenye masikio marefu kama ya idara idara sio chombo cha mtawala idara ni chombo cha kumuongoza mtawala kuchaguwa mbivu na mbichi hawa kiutaratibu wanakupa white and black na uwenda wanaweza kukupa outcome ya kile unakifanya.
Mmeona ingia toka ya chama fulani? Je kuna mtu kaona ghafla ile ingia toka imesimama je unaweza juwa ni kitu gani? Idara ni yakuogopa sana.
Mnaona kinachoendelea huko big brother nani anaweza tabiri mwisho.. ogopa idara.
Idara zote zina unity kumlinda Rais ila kuna unity zaid ya hizo jiulize zina kaz gani.. Kuna jiwe limerushwa gizani na kiti ila namashaka hilo jiwe litazuwa mapicha ya kutisha hasa kwa majasu wa Tz sidhani kama hilo jiwe watakubali liwaumize..
Well ni nadharia ila yaweza kuwa kweli huu uchaguzi utakuwa wa mwisho kwa watu wenye nguvu za chama na serikali kuingilia matakwa ya idara hayo mengine na waachia wana kusadikika wenyewe.