Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

Chama Tawala kinatakiwa kiutafakari sana mustakabali wake huko mbeleni.
 
Hao vigogo ni wapi wataowekewa vigingi na Idara?
Mbona wa sasa wanabadili viongozi wa Idara hovyo hivyo tu.
 
Hakuna Idara katika taifa hili kila kitu kinatokea kwa bahati bahati tu. Idara ambayo inajali masilahi ya chama badala ya Taifa ni worthless kabisa. 2025 hakuna uchaguzi bali ni maigizo ya uchaguzi.
 
Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa matokeo yake huwa ni mabaya sana. Marekani inaweza jiongoza bila Rais kwanini? Niuwajibikaji wa hii idara.

Taifa lolote lenye nguvu duniani halina mtu mwenye masikio marefu kama ya idara idara sio chombo cha mtawala idara ni chombo cha kumuongoza mtawala kuchaguwa mbivu na mbichi hawa kiutaratibu wanakupa white and black na uwenda wanaweza kukupa outcome ya kile unakifanya.

Mmeona ingia toka ya chama fulani? Je kuna mtu kaona ghafla ile ingia toka imesimama je unaweza juwa ni kitu gani? Idara ni yakuogopa sana.

Mnaona kinachoendelea huko big brother nani anaweza tabiri mwisho.. ogopa idara.

Idara zote zina unity kumlinda Rais ila kuna unity zaid ya hizo jiulize zina kaz gani.. Kuna jiwe limerushwa gizani na kiti ila namashaka hilo jiwe litazuwa mapicha ya kutisha hasa kwa majasu wa Tz sidhani kama hilo jiwe watakubali liwaumize..

Well ni nadharia ila yaweza kuwa kweli huu uchaguzi utakuwa wa mwisho kwa watu wenye nguvu za chama na serikali kuingilia matakwa ya idara hayo mengine na waachia wana kusadikika wenyewe.
Sawa
 
Ka
"Mnaona kinachoendelea huko big brother nani anaweza tabiri mwisho.. ogopa idara"

Labda kama idara ni Gwajima, maana yeye pekee ndo katoka mkavu kuongelea tatizo la Msingi.

Upuuzi tu; Damage kubwa ishafanyika, elastic limit is reached, kama hakuna lolote limefanyika, halitegemewi kufanya Tena!

Dawa ya shida za hii nchi na mtu pekee wa kuturudisha katika mifumo ya kuheshimu Katiba na utaaala wa Sheria ni Lisu peke yake.
Kabla ya idara hii ilijulikana kwa jina la branch.

Aanzieni hapo
 
Sasa huku idara ni akina makonda na sabaya hatutegemei mabadiriko yoyote
 
Litakuwa Jambo jema sana. Naamini kuna maamuzi ya hovyo yatadhibitiwa,lakini vipi kuhusu Idara kuwa chini ya Rais?
 
Haahaa unaota wewe
 
Thread zako huwa ni za nadharia na hazina clarity yoyote. Ni hadithi za vijiweni zaidi.
 
"Mnaona kinachoendelea huko big brother nani anaweza tabiri mwisho.. ogopa idara"

Labda kama idara ni Gwajima, maana yeye pekee ndo katoka mkavu kuongelea tatizo la Msingi.

Upuuzi tu; Damage kubwa ishafanyika, elastic limit is reached, kama hakuna lolote limefanyika, halitegemewi kufanya Tena!

Dawa ya shida za hii nchi na mtu pekee wa kuturudisha katika mifumo ya kuheshimu Katiba na utaaala wa Sheria ni Lisu peke yake.
Crap
 
Back
Top Bottom