Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

Chama Tawala kinatakiwa kiutafakari sana mustakabali wake huko mbeleni.
 
Hao vigogo ni wapi wataowekewa vigingi na Idara?
Mbona wa sasa wanabadili viongozi wa Idara hovyo hivyo tu.
 
Hakuna Idara katika taifa hili kila kitu kinatokea kwa bahati bahati tu. Idara ambayo inajali masilahi ya chama badala ya Taifa ni worthless kabisa. 2025 hakuna uchaguzi bali ni maigizo ya uchaguzi.
 
Sawa
 
Takataka TU
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ka
Kabla ya idara hii ilijulikana kwa jina la branch.

Aanzieni hapo
 
Sasa huku idara ni akina makonda na sabaya hatutegemei mabadiriko yoyote
 
Litakuwa Jambo jema sana. Naamini kuna maamuzi ya hovyo yatadhibitiwa,lakini vipi kuhusu Idara kuwa chini ya Rais?
 
Haahaa unaota wewe
 
Thread zako huwa ni za nadharia na hazina clarity yoyote. Ni hadithi za vijiweni zaidi.
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…