Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

Upuuzi tupu!

Si chochote na wala si lolote!
 
Hakuna idara yenye sifa unazosema Tanzania..hapa kuna kikundi kinaratibiwa na kusimamiwa na mstaafu wakati kinalipwa kwa kodi za wananchi..na siku mabadiliko ymefanyika kwa nguvu za wananchi no kuweka ndani kikundi hiki na kuanzisha uchunguzi wa yaliyofanyika chini yao ndani ya miaka 15 hapo ndio heshima itakuja hata kwa huyu aliyesifia ujinga uliopo.
 
Hivi huyu mwamba yupo duniani kweli? Kuna watu humu JF wamegoma hata kusalimia ili tujue kama wapo. Huyu ni mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…