KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Mimi pia ningefurahi jamaa aingie jehanam as soon as possible...
Kwi kwi kwi,
Naona watu wengi kweli wanataka kuona Chenge akiwa kaburini amekufa kabla ya kupelekwa kwenye moto wa Jehanum achomwe moto kwa vifo vyote vya watoto wachanga na mama wajawazito alivyosababisha hapo Tanzania.
Hili liwe ni onyo kwa mafisadi wote ndani ya ccm. Ukifanya ufisadi na kuwadhulumu watanzania, chuki yao dhidi yako inatosha tu kukuweka tumbo moto na ukaishi maisha ya wasiwasi for the rest of your life.
Just imagine how many pple want this guy dead!
utatangulia wewe mwenye roho ya mauti
wanaoleta udaku kwenye siasa naomba wapewe karipio kali ikiwa pamoja na kufungiwa kwa siku moja.
Hivi kweli JF wote huko bongo hakuna mwenye kuweka ukweli hapa? Shy uko wapi Mkuu. Mara nyingi natarajia kupata confirmation toka kwenu (shy and Lunyungu). Habari hii inashitua sana, ni vema tukapata ukweli siyo kifo bali hii ya kunya sumu au kujipiga risasi.