Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Mkuu hizi habari tumekuwa nazo tokea usiku hila wamesema si za kweli. MZee wetu vijisenti anadunda na uchunguzi ukikamilika atarudisha vijichengi vyetu. Maana tunajua tayari vingine vimeisha tumika.
 
Kwi kwi kwi,

Naona watu wengi kweli wanataka kuona Chenge akiwa kaburini amekufa kabla ya kupelekwa kwenye moto wa Jehanum achomwe moto kwa vifo vyote vya watoto wachanga na mama wajawazito alivyosababisha hapo Tanzania.

Hili liwe ni onyo kwa mafisadi wote ndani ya ccm. Ukifanya ufisadi na kuwadhulumu watanzania, chuki yao dhidi yako inatosha tu kukuweka tumbo moto na ukaishi maisha ya wasiwasi for the rest of your life.

Just imagine how many pple want this guy dead!

Mimi nisingependa Chenge ajiue au afe. Huyu anajua siri nyingi sana kuhusiana na ufisadi ambao unawagusa mafisadi wenye vyeo vya juu au waliokuwa na vyeo vya juu sana katika awamu ya tatu na ya nne pia. Si unaona Kikwete kakaa kimya kabisa pamoja na kuwa balozi wa Marekani ametoa offer kwamba nchi hiyo ipo tayari kusaidia kumrudisha fisadi Ballali ili ajibu tuhuma dhidi yake. Ni kipi kinamchomfanya Kikwete hadi hii leo kutochangamkia offer hiyo? anaogopa nini kumrudisha Ballali nchini ili ajibu tuhuma nzito dhidi yake?

Hawataki arudi maana atakayoyasema yanaweza kuitingisha dunia kwa ufusadi mkubwa unaofanywa na unaendelea kufanywa na viongozi wa juu ndani ya chama na sirikali katika nchi yenye 'amani' Afrika.

Mafisadi wengi walioshirikiana na Chenge katika kuwafisadi Watanzania watafurahia sana kusikia Chenge kafa maana mtu mmoja ambaye anaweza kutoa ushahidi dhidi yao hatimaye kuwatia hatiani na kuwafilisi mali zao atakuwa amepungua, maiti haisemi.
 
wanaoleta udaku kwenye siasa naomba wapewe karipio kali ikiwa pamoja na kufungiwa kwa siku moja.
 
Hii habari imeanza jana, inasambaa kwa kasi ya ajabu..... lakini mai wafu wa jamaa kasema mai husbandi wake yupo gado...
Mods leo mna kazi
 
Hivi kweli JF wote huko bongo hakuna mwenye kuweka ukweli hapa? Shy uko wapi Mkuu. Mara nyingi natarajia kupata confirmation toka kwenu (shy and Lunyungu). Habari hii inashitua sana, ni vema tukapata ukweli siyo kifo bali hii ya kunya sumu au kujipiga risasi.
 
wanaoleta udaku kwenye siasa naomba wapewe karipio kali ikiwa pamoja na kufungiwa kwa siku moja.

Even more than that, kwani wanafanya watu kuamini uongo wao. Wanatakiwa kujua JF sio gazeti la UDAKU. We need to have proofs kabla ya kuandika.
 
Hivi kweli JF wote huko bongo hakuna mwenye kuweka ukweli hapa? Shy uko wapi Mkuu. Mara nyingi natarajia kupata confirmation toka kwenu (shy and Lunyungu). Habari hii inashitua sana, ni vema tukapata ukweli siyo kifo bali hii ya kunya sumu au kujipiga risasi.

Sources nyingi hapa JF zimeshasema kuwa hii habari sio kweli. Kuna habari kama hii kule kwenye thread ya nyepesi nyepesi au udaku.
 
Mods pls hii ni kama ile ya GT..ina belong kuleee kunako nyepesi nyepesi!Hili ni jukwaa zito la kisiasa!
 
Hii hata si ya kuhamisha kufuta tu... unless kama alijipiga risasi baada ya kunywa sumu halafu akajirusha toka ghorani na alipotua chini akajichoma kisu kisha akijitundika kwenye kenchi!!
 
..huu mchezo wa kuvumishia watu vifo ulianzishwa na CCM-MTANDAO.

..kama mnakumbuka mwaka 1995 waliwasakizia DTV habari kwamba Cleopa Msuya amefariki.

..Mzee Godfrey Mgondo went on air saa 2 usiku na kutangaza uzushi wa kifo cha CD Msuya.

..wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2005 wakamtangaza kwamba Dr.Abdalah Kigoda amefariki.
 
Asante Mwafrika wa kike kwa maelezo yako, kama ni uzushi hii ni mbaya sana. Nimeona thread moja inasema kwamba kunafununu kwamba Karamagi kafariki sasa hii nini? Kwa jambo kubwa kama hili (kifo) ni vema kupata uhakika ndipo kupost. Tujihadhari sana kwani tunaweza kupoteza umakini wetu (JF) na kuwa kikundi cha udaku tena usio na malengo mazuri.
 
Anayetangaza habari za wafu wa Dar huyu hapa

Make a Call to him and he will answer you

COMMISSIONER OF DSM ZONE
CP Alfred Tibaigana
OFISI : 2117705
KAWAIDA : 2132269
NYUMBANI : 2601281
MKONONI : 0754-420565
 
Mbinu za kuneutralize mijadala ya ufisadi!
Mi nafikiri tuendelee kumjadili ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya hawa mafisadi and then kama mwili wake ni mzima its fine kwani ushahidi dhidi ya mafisadi wengine ni muhimu..na kama kafa ama kauwawa then we'll investigate for the sake of humanity,perform a free autopsy,burry him and eventually take a look at the investigation to see if his death was/is suspicious and then carry on with the fight against ufisadi and take the justice to the other fisadis as soon as possible before more rumours or death faking comes around!
JF tusikubali kuyumbishwa!
 
I am working on this matter tirelessly .Nikiwa nalo nitasema .Hii habari imenikuta pabaya sana hata nakuja kuuliza .Kila kona napiga simu hawana habari na wao wanasikia ni uvumi.Nadhani mada isifutwe kwanza hadi tuone mwisho wake .Maoni yangu tu haya .
 
Chenge ni mzima wa afya, ni kama dakika kumi tu zimepita tangu nimuone kwa ukaribu sana.

sio vizuri kuzusha ila ni vizuri kuwaweka watu karibu na JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom