Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.


Mods please do your job!! Hebu muondoeni huyu anayeleta balaa katika forum yetu mwanana. Matusi na JF wapi na wapi? 😕
 


Si unaona mawazo yenu yalivyo finyu. Mnataka kila myu amchukie chenge haiwezekani ndugu zangu. Kama anawajengea nyumba na nyie ndio kinawauma basi mna kazi ndugu zangu. Nyie pia ni mafisadi mnaosubiri chenge afe, nyie sio Mungu ndugu zangu na wala hivo vijisenti mnavyosema hamtavitapa hamkuvitolea jasho; Mtangoja mpaka kuche ndugu zangu aliyewatuma atashindwa kama nyie tu poleni sana. Hatoweki mtu hapa ngo
 

http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=187782&postcount=146

http://haki-hakingowi.blogspot.com/2008/04/siongei-chochote-chenge-pichani-ni.html#comments
 

hakuna hasira hapa wala nini, wewe ndio mwenye hasira kwa ufisadi wako kuumbuliwa. Eti wasema umahiri wake, umahiri wa kuiba...amakweli vijisent huachi kukufuru. Si juzi tu hapa umtoka kuomba msamaha na kusingizia usukuma wako ndio ulikupelekea kwenye dharau na majivuno. Umaskini uko jimboni kwako na mimi sio maskini na sina tamaa ya pesa kunipelekea kuiba kodi za walipa kodi kisa umahiri wa wizi uliosomea Havard, boooooooooo......
 
Mods please do your job!! Hebu muondoeni huyu anayeleta balaa katika forum yetu mwanana. Matusi na JF wapi na wapi? 😕

Mbona nyie mkimtukana chenge hamuombi muondolewe au mna agenda ya siri na baba huyu mpaka muombe niondolewe kulikoni. Kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake sasa mnataka wote tumshambulie chenge ndio raha yenu.
 



Kumbe pia alikuwa na kazi ya kuwajengea watu nyumba, hao wote ni mafisadi na aibu kwenu mafisadi kulimbikiza mapesa wakati kuna watanzania wanalala njaaa! Shame on you!
 

Acha hizo tuliza ball ndio kwanza mpira unaanza. nadhani tamaa unayo ndio maana unapata kihoro kwa vijisenti. Miaka 30 sio mchezo kwa hiyo usijikanyage, Hayo maneno kamwambie chenge hapa ni mimi mtoa hoja kama wewe nina uhuru wa kuongea na wala usiniwekee vikwazo
 

Uwanja mdogo huu utapaisha bure...tuliza mapepe... njoo tupate kikombe cha kahawa.
 
Kumbe pia alikuwa na kazi ya kuwajengea watu nyumba, hao wote ni mafisadi na aibu kwenu mafisadi kulimbikiza mapesa wakati kuna watanzania wanalala njaaa! Shame on you!

Hayo unasema wewe na hao wenzako soma yaliyotangulia kabla hujabwaka. Masuala ya nyumba kayasema mwenzako na hapa nilikuwa najibu tu tayari ushachukulia kana kwamba ni kweli . No wonder speculation za kunywa sumu zimezagaa kutokana na watu kutosoma sahihi
 

situlizi wewe fisadi, kihoro unachowewe kuona karibuni utakuwa segerea. Kama mtoa hoja mbona kinakuuma sana, wewe ni vijisent mwizi uliyewaibia watanzania bila huruma. Miaka 30 kwa mshahara wa serikali ya tanzania mbona kina warioba au kawawa hawana vijisent vyako. Wewe unawashwa na muwasho wa kihoro mzoea vya kutafuniwa wewe. wewe kalale maana huna mpya kama wewe sio chenge mwenzio ameshakubali kuwa kaiba sasa hapa unashanga tuu!
 

no wonder unafaidi ufisadi huku ukisema 'this country bwana is very poor' wakati umaskini umeuleta wewe kwa mawazo ya wizi. No wonder unaandika kama vile macho yako kisogoni na moyo wako uko makalioni. huna haya fisadi wewe!
 
Whatever, lakini yeye ndio chanzo cha hili suala wewe unaliona dogo ati? ni sahihi kusema uzushi kama huu Give me a break
Da Fausta, sina haja ya kubishana au kutaka kuelekeza na wewe yapi yaliyo sahihi au yapi yasiyo..... nilisema spin hapo juu maana ulitaka kupindisha ukweli kulingana na jinsi fununu hizi zilivyoanza. Msukumo wa kuniambia mimi 'whatever' na kukupa 'a break' tells me a lot about you ......anyway, usiku mwema dada.
 
Punguza speed hakuna kibaraka wa gazeti lolote hapa bali tunapambana na mafisadi akina fisadi Mkapa, fisadi Chenge na wengineo wengi na ushahidi dhidi ya ufisadi wao unatoka kidogo kidogo na picha kamili itaonekana muda si mrefu ujao.


sasa kweli kama mnapambana na mafisadi kama chenge, kwa nini mnaogopa kungoja matokeo ya hao wapelelezi wa malkia? kwa nini mnamhukumu kabla hata hawajatuambia kama kweli alihusikana sakata la rada? kwa nini magazeti yameshamiri kuandika kila siku kana kwamba tayari majibu yameshatoka na nyie mnaungana kumhukumu? huoni kuwa si sahihi kumhukumu mtu wakati uchunguzi haujakamilika, Nguvu hii na kiburi hiki cha hukumu mnaitoa wapi? Kwa nini ni magazeti tu ndio tuyaamini kuwa yanasema ukweli? hivi kun HATASIKU MOJA umejihoji hili au ndio basi ushabiki
 

SAWA lakini haifuti ukweli kuwa umetupotosha kwa habari zisizo na ukweli au hili pia lina ubishi? maana hii ndio hoja yangu
 

Subiri basi hiyo segerea ndugu yangu maana unaongea kwa jazba hutumii akili. Kama kakubali kaiba si angekuwa segerea tayari. Ndugu yangu punguza pumzi kifuani itakuua Dont argue with ur chest use ur head instead
 
SAWA lakini haifuti ukweli kuwa umetupotosha kwa habari zisizo na ukweli au hili pia lina ubishi? maana hii ndio hoja yangu

Fausta hapa JF habari zote zinachambuliwa yaani ziwe za chumbani, vijiweni, tetesi au za ikulu zote zinawekwa wazi...sijui ni kitu gani kinakupa hasira!!, anyway karibu JF ndio miila zetu ni vitu vya kawaida kwenye media ndio maana mtoa maada kaanza kwa kusema tetesi..usiwe na hasira tuliza munkari na taratibu karibu Jf tunahitaji mchango wako kwa manufaa ya wote
 
no wonder unafaidi ufisadi huku ukisema 'this country bwana is very poor' wakati umaskini umeuleta wewe kwa mawazo ya wizi. No wonder unaandika kama vile macho yako kisogoni na moyo wako uko makalioni. huna haya fisadi wewe!


sasa wewe mwenye macho mbele na moyo kifuani unawasaidiaje watanzania katika kujiendeleza. Pole ndugu na macho yako yaliyo usoni
 

kwa hiyo unataka kuniambia taarifa zenu hazina uhakika mnazipata vijiweni? wenzenu huwa hawaandiki kitu mpaka wamekifanyia utafiti kuogopa kushtakiwa baadaye nyie mnandika tu maana sheria za kuwabana hakuna, wala sina hasira nasikitika kuwa tunategemea sana vyombo vya habari katika elimu lakini wakati mwingine mnatupotosha na huu ni mfano mzuri
 
We are sorry to inconvenient you, but this thread will temporarily close on grounds of moderation. We beg your understanding. Thank you !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…