Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
graduate wa Havard aliyeajiriwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa TZ hawezi miliki fedha zote zile wewe.acha kutufanya sie mabwege.

and remember hizo fedha kazipata in near future(something smells fishy)

we kugraduate Havard ndio umeona Ticket to richness??then u r soo saddening

Ala hivi ndio unavyofikiri no wonder mna ufinyu wa mawazo. Ni wapi uliposoma kuwa kapata hizo hele hivi karibuni? jamani watanzania mna kazi
 
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki

naona wote mko online

safi sana

Kila mtu isipokuwa gametheory yuko online sasa kumsubiria aje kukanusha hii habari?
 
Wakati mwingine bwana GT ni wa ajabu, lakini bado naheshimu michango yake...
 
ADMIN

Source wangu ameconfirm kuwa kuna UTATA kwenye hii habari...naomba uiwekeee question mark kwenye heading

bado niko kwenye simu na SOURCE wangu

WADAU NIWIENI RADHI KWA SASA lakini kila mwenye source aendelee kuangalia kwa undani zaidi

Hiyo so called source yako ni ya umbea maana yu hai hadi saa hizi
 
Umeingia leoleo na kuanza kusuta watu? Kwako ufisadi ndio kuwekeza? Unakuja vibaya ndugu, angalia vizuri!

Mkiambiwa ukweli mnajidai tumeingia leo. Ngojeni matakapoabika baada ya sakata hili kwisha. Maisha yakiwashinda mnatafuta wachawi. Ama kweli ndio maana waafrika hatuendelei yutaendelea kutumika tu mpaka hapo yesu atakaporudi na kutufungua macho. Pole
 
kwa nini asipeleke bank wakati yeye ni professional na kaiba professionally. Unajua wizi wake ulipokufikisha ndio maana umekuwa mkali namna hiyo, BTW ni fisadi na ni mwizi. Hata kama hajanywa sumu lkn alichokifanya kinamsumbua nafsini mwake na hata hizo pesa za wizi hana raha nazo. Mbona Mengi ni tajiri lakini hakuna anayemsema. Kama huyo vijisent kapata pesa zake halali kwa utumishi wake serikalini miaka 30, what about kina Kawawa, Warioba et al? kwa nini na wenyewe sio matajiri?

Kwa hiyo hasira yako ni kwa sababu chenge naye ana hela kama mengi au ni nini, kuwa mengi peke yake ndiye anapaswa kuwa na hela au ndio kawatuma kuwa mchafue wengine ambao wanataka kumsogelea. Sasa umenifunua akili nilikuwa najaribu kujua haya yote yanatokea wapi, Ala acheni kuwa vibaraka wa magazeti na ushabiki
 
Take a break dayuuum... unajaza bandwidth na utumbo...alafu swallow a chill pill shawty!!!! Hot Dayuuuum!!!!

U should take a break dear ukweli unauma. I am here to stay katika kujaribu kuwaelimisha wapotoshaji kama nyie.
 
Kwa hiyo hasira yako ni kwa sababu chenge naye ana hela kama mengi au ni nini, kuwa mengi peke yake ndiye anapaswa kuwa na hela au ndio kawatuma kuwa mchafue wengine ambao wanataka kumsogelea. Sasa umenifunua akili nilikuwa najaribu kujua haya yote yanatokea wapi, Ala acheni kuwa vibaraka wa magazeti na ushabiki

hakuna aliyemchafua kajichafua mwenyewe mwizi mkubwa, na hizo pesa zitammlaani yeye na aliokula nao, tena unatia kichefuchefu kweli. We unadhani hadi kujiuzulu si anajua ukweli, kwa mawazo yako unadhani angejiuzulu mpenda madaraka huyo, yeye alijua ataendelea kuiba maisha yake yote. Mara mia ungemshauri aende kuwaendeleza wananchi waliompa'kula' kule bariadi. Wewe ndio unamtia kiburi huyo vijisent na nadhani wewe ndio ulikuwa unampa bichwa aibe!
 
Wakati mwingine bwana GT ni wa ajabu, lakini bado naheshimu michango yake...

Huyu Gt mnayemuamini ndiye huyu anayeleta majungu maana habari ya kifo cha mtu si jambo mzaha alipaswa kuwa amelihakiki kweli kweli kabla ya kulitoa upo.
 
Kwa hiyo hasira yako ni kwa sababu chenge naye ana hela kama mengi au ni nini, kuwa mengi peke yake ndiye anapaswa kuwa na hela au ndio kawatuma kuwa mchafue wengine ambao wanataka kumsogelea. Sasa umenifunua akili nilikuwa najaribu kujua haya yote yanatokea wapi, Ala acheni kuwa vibaraka wa magazeti na ushabiki

Punguza speed hakuna kibaraka wa gazeti lolote hapa bali tunapambana na mafisadi akina fisadi Mkapa, fisadi Chenge na wengineo wengi na ushahidi dhidi ya ufisadi wao unatoka kidogo kidogo na picha kamili itaonekana muda si mrefu ujao.
 
U should take a break dear ukweli unauma. I am here to stay katika kujaribu kuwaelimisha wapotoshaji kama nyie.

ukweli unauma kwa wezi kama wewe na vijisent wako, umetoka mkuku kuja kumtetea hapa, tunakuona mwehu mwehu. Kiburi cha pesa ndicho kinachokufanya uanze kujibu post moja baada ya ingine. Unalo bidada limekuganda!
 
Huyu Gt mnayemuamini ndiye huyu anayeleta majungu maana habari ya kifo cha mtu si jambo mzaha alipaswa kuwa amelihakiki kweli kweli kabla ya kulitoa upo.

....Would you pls stop ya planned spins..... GT alisema 'kanywa sumu' and not otherwise...

Kwa hiyo hasira yako ni kwa sababu chenge naye ana hela kama mengi au ni nini, kuwa mengi peke yake ndiye anapaswa kuwa na hela au ndio kawatuma kuwa mchafue wengine ambao wanataka kumsogelea. Sasa umenifunua akili nilikuwa najaribu kujua haya yote yanatokea wapi, Ala acheni kuwa vibaraka wa magazeti na ushabiki
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12801
 
hakuna aliyemchafua kajichafua mwenyewe mwizi mkubwa, na hizo pesa zitammlaani yeye na aliokula nao, tena unatia kichefuchefu kweli. We unadhani hadi kujiuzulu si anajua ukweli, kwa mawazo yako unadhani angejiuzulu mpenda madaraka huyo, yeye alijua ataendelea kuiba maisha yake yote. Mara mia ungemshauri aende kuwaendeleza wananchi waliompa'kula' kule bariadi. Wewe ndio unamtia kiburi huyo vijisent na nadhani wewe ndio ulikuwa unampa bichwa aibe!

Utalaaniwa wewe unayedhani umaskini wako umeletwa na chenge. Kuhusu Bariadi nenda huko ukawaulize wananchi wake ndio wanaweza kusema mimi siwezi kuwasemea. Lakini ukweli ni kuwa umasikini wako haujaletwa na chenge lakini sisi wenye akili dumazi tusiotaka maendeleao. Yeye hakuomba madaraka bali alipewa walaumuni waliompa madaraka. Hakuomba uanasheria mkuu wala uwaziri. Alipewa kazi hizo kwa umahiri wake. Semeni yote iko siku mtakumbuka maneno haya maana hamjafanya naye kazi. Hasira za maisha yenu zinawafanya muwe wapofu.
 
Kwa hiyo hasira yako ni kwa sababu chenge naye ana hela kama mengi au ni nini, kuwa mengi peke yake ndiye anapaswa kuwa na hela au ndio kawatuma kuwa mchafue wengine ambao wanataka kumsogelea. Sasa umenifunua akili nilikuwa najaribu kujua haya yote yanatokea wapi, Ala acheni kuwa vibaraka wa magazeti na ushabiki

we wadhani kama umtumwa na vijisent kuja kumuoshea hapa na wote tumetumwa sio? koma kabisa bibi wewe, kama na wewe umefaidika na hizo pesa za ufisadi kutoka kwa vijisent basi ushindwe na ulegee, unatajataja yesu hapa unadhani nani atasymphasize na fisadi wewe, muone kwanza! dunia nzima kwa taarifa yako inajua vijisent ni fisadi sasa endelea na kampeni ya kumfagilia kwa ufisadi wake.
 
ukweli unauma kwa wezi kama wewe na vijisent wako, umetoka mkuku kuja kumtetea hapa, tunakuona mwehu mwehu. Kiburi cha pesa ndicho kinachokufanya uanze kujibu post moja baada ya ingine. Unalo bidada limekuganda!

Huyu anaelekea alinufaika kwa namna moja na ufisadi wa chenge sijui ndio katika wadogo wa Mkewe Christina Chenge waliojengewa majumba ya kukata na shoka au ni wa nyumba ndogo maana inaelekea hili la kuibuliwa fisadi Chenge limemgusa mno. Anajua vinono ndiyo hivyo vinatoweka taratibu maana jamaa hana access na bank accounts zake zote ndani na nje ya nchi.
 
Utalaaniwa wewe unayedhani umaskini wako umeletwa na chenge. Kuhusu Bariadi nenda huko ukawaulize wananchi wake ndio wanaweza kusema mimi siwezi kuwasemea. Lakini ukweli ni kuwa umasikini wako haujaletwa na chenge lakini sisi wenye akili dumazi tusiotaka maendeleao. Yeye hakuomba madaraka bali alipewa walaumuni waliompa madaraka. Hakuomba uanasheria mkuu wala uwaziri. Alipewa kazi hizo kwa umahiri wake. Semeni yote iko siku mtakumbuka maneno haya maana hamjafanya naye kazi. Hasira za maisha yenu zinawafanya muwe wapofu.

ulaaniwe mwenyewe wewe na vijisent wako. Kuhusu bariadi wajuaje kama na mimi niko huko, kuna nini kipya zaidi ya alivyojilimbikizia mwenyewe. Huwezi kuwasemea watu wa bariadi lakini unaweza kusemea chenge kwa vile na wewe ni fisadi vile vile.

Na kwa sentesi yako ya eti tuwalaumu waliompa madaraka nahisi wewe ni chenge kwa sababu hiyo ni sentensi aliyokwisha isema sometimes na kama wewe sio vijisent mwenyewe wewe ndio huwa unamshauru kusema maneno ya jeuri fedhuli na baradhuli mkubwa wewe.

Watanzania wanakufa njaa, hawana barabara wala hospital halafu wewe unaongea utumbo hapa. Kak***e ukalale.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom