Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

Si vizuri kumwaga vitu vya watu hadharani namna hii.Ni kama mnawachongea! TRA wanapitaga huku mjue!!!







k
 

Nimeshakwambia acha wivu,

pesa ngapi za walipa kodi zinatumiwa ovyo na wafanyakazi wa serikali umelifanyia nini hilo?

yaani mangapi yanaendelea hata dakika hii ya kuibia wananchi haufatiliii weye unamfatilia Diamond an Zari...tabu ni kwamba jifunze au toa zako kasaidie kukemesha wanaoiba uko serikalini...

kila siku watu wanachangi mamillion kwenye party za maharusi mbona hauwafati?

hata uko serikali za wilaya wanaiba kutwa barabara mbovu zinawekwa platic nyepesi then pesa tena zinatumika hawaweki kiango cha kukaa miaka ili waibe tena, umefanyaje kwa hilo?

watu wanaingiza vitu vya magendo hawalipi kodi umefanyaje kwa hilo?

kama ulikosa kwenda tunajua pesa ilikuwa ndefu basi tulia ila sio kutaja taja pesa ya party...kesho ukisema unafanya get together ya kila mtu achangie mle mnywe je utasubiri wakuulize kodi au utaenda TRA kulipia?

sasa sio hata milioni 700 ni ilizidi billioni...umefurahi? tena wahi pale mwenge TRA kawashtaki Zari na party yake, watakushukuru na kukubeba juu na kukupa tuzo nzuri sana hata magazetini tutakuona...
 
Si vizuri kumwaga vitu vya watu hadharani namna hii.Ni kama mnawachongea! TRA wanapitaga huku mjue!!!

Tena ndio wanachotaka wakati hata ticket hazikuzidi 10 za millioni 3. wana wivu haooooooo, badla wake wapange wanakopije wanaishia kushuka chini na tayari bado wako chini.

Nchi zingine wenye vyeo vya serikali wanapelekeshwa na hata kujiuzuru hawa wanafata maisha ya wananchi hawawezi kudhubutu kufungua mdomo hata mbele ya mgambo kujitetea wakisingiziwa wamepiga chafya

ndio maana Zari kaja kafanya jipya na watabaki kuchochea tu
 
kwenye amplifaya alihojiwa Babu Tale akasema tiket za million 3 zilikua 10 tu,, sasa hapa naona,,, duh
 
Mapambo ya Milioni 700? Hata PARADISO hakuna mapambo ya gharama hiyo

Mungu wangu daah nimesoma huu uzi usiku mnene nikajikuta nacheka kama mchana vile binamu asante kwa kunirudishia siku yangu iliyokuwa mbaya hahahahahahahaha sitoki jf walaah
 
Very Cheap argument kiongozi
 

Shule za kata in the making...sijui umekula maharage ya wapi wewe!!
 
Jumla Tiketi za Tzs 3,000,000 ( VVIP Table) zilizouzwa ni 150 only = (3,000,000 x 150 = 450,000,000)
Kwa kweli hata kama ningekuwa ni zuzu wa kuamini kila wala nisingeamini madai ya kuwapo VIP Tables 150. Si kwamba hakuna idadi hiyo ya watu wenye uwezo wa ku-order idadi hiyo ya meza bali ni kwamba ukumbi mzima ungetapakaa meza za VIP!
 
Kwa kweli hata kama ningekuwa ni zuzu wa kuamini kila wala nisingeamini madai ya kuwapo VIP Tables 150. Si kwamba hakuna idadi hiyo ya watu wenye uwezo wa ku-order idadi hiyo ya meza bali ni kwamba ukumbi mzima ungetapakaa meza za VIP!

Kuna video hapo juu, ni mahojiano kati ya Babu Tale na Millardi.
Tale amesema VIP zilikuwa ni 12 za 1,000,000
VVIP zilikuwa 10 za 3,000,000
Hivyo jumla ya VIP zote ni 22 thamani yake ni 42,000,000
 

Tale kasema ticket za 3m ambazo ni VVIP zilikua 10, ticket za 1m (VIP) zilikua 12... aya bhana kama ni munyu yako imekolea sana mkuu.
 
Kuna video hapo juu, ni mahojiano kati ya Babu Tale na Millardi.
Tale amesema VIP zilikuwa ni 12 za 1,000,000
VVIP zilikuwa 10 za 3,000,000
Hivyo jumla ya VIP zote ni 22 thamani yake ni 42,000,000

Sure :thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…