Tetesi huanza na minong'ono

Kwakua watu hawana agenda bas hzo ni agenda mnapewa. Badala mpambane na wa2 kukatwa majina mnahangaika na umbea huu na Yanga kufungwa.Kwan hamna agenda ambayo haina upepo?
Hi ni jamii ya kumpumbavu sanaa mambo muhimu ya nachwa na kutunga yasio kua na umuhimu wowote, akimaliza yanga kufungwa 3.0 wamedandia hilo wakati kuna la kukata majina ambalo ni suala muhimu sana kitaifa.
 
 
Wewe na nani mnampenda?
Kama ni DALALI WA DP WORLD ATANGULIE TU NAMI NITAMKUTA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…