Tetesi huanza na minong'ono

Mbona kwenye kikao hapa wanasema "mitano Tena"
Harafu vipi Cuba hali ya hewa kweli ni mbaya????
Hali ya hewa ilisitisha ziara ya siku 2....

Nilikuwa nasubiri pia tufe ghafla maana kuna mwendawazimu mmoja aliandika kuwa .....sijui nani anaenda kuisimamisha dunia akiwa Cuba....nijajisemea moyoni, dunia hii hii tunayoambiwa iko kwenye 1600kph!
 
Hakuna kisichowezekana kwa Mungu,,,,, tuelendeee kuomba tuwe na afya njema !

Ilifika siku yako utaenda tu, haijalishi wewe ni nani, una cheo gani, Tajiri ama masikini !
 
Labda ndio spinning za mapingamizi ya uchaguzi you have to be smart enough to punch some of the cockroaches practices
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…