Tunaomba yule jamaa maarufu toka Yerusalemu atufanyie msaada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba yule jamaa maarufu toka Yerusalemu atufanyie msaada.
Umetuma picha Gani?Hiyo imekwisha imekwisha imekwisha [emoji122][emoji122]
kabisaa mkuu bado nalipa ada sasa Mshana Jr anataka kunichomekea ili niongee huu mtego siungii kwamwe😉... Hivyo bado unaendelea na mchakato kuhakikisha anafikia lengo na level za Adv. 'Msomi' P. kibatala
Hali ya hewa ilisitisha ziara ya siku 2....Mbona kwenye kikao hapa wanasema "mitano Tena"
Harafu vipi Cuba hali ya hewa kweli ni mbaya????
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni "uzushi" usiofaa kupewa kipaza sauti
Unataka tuandike kitu mpaka FaizaFoxy aelewe??Mbona sielewi hata mnachoongelea,sijui ndo uandishi na matunda ya elimu ya shule za kata?
Ni kweliYeyote aliye madarakani kwa sasa ni laana kwa Taifa.
Tuwaimbie tu wala tusichoke. Na yeyote atakayekuja kwa upande wa wanaoangukia dongo naye ataenda tu.
Nchi itapona
Hamisa Mobeto amejua kupiga kazi bila kumsahau Haji Manara aliyetoa assist.
Naunga mkono, Gamondi bado yupo sana Yanga.Puuzieni uzushi kama huu.
Labda ndio spinning za mapingamizi ya uchaguzi you have to be smart enough to punch some of the cockroaches practicesTetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti