Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mara nyingi ngapi? wapi? Weka link au post namba hapa.Kunywa wine mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi ngapi? wapi? Weka link au post namba hapa.Kunywa wine mkuu
Mkeo Lamomy anakusalimia.... tuko nae hapa magomeni tunakunywa juisi ya miwaHakuna ujinga mkubwa kama ule wa kuandika chochote kinachokujia kichwani
Viongozi na Watanzania mbalimbali waliowahi kuzushiwa kifo kumbe sio, ni wa dini moja tu ya kwako ? Imethibitishwa kwamba anayekimbilia kujitetea kwenye udini yeye ndiye mdini mkubwa.Hakuna bwashee ni udini tu,
Sikatai watu wachukie kwa udini, lakini isifike kuuwana kwa udini kwa kuwa kufa ni wanakufa dini zote
Hata wewe MZUSHI tu, huna lolote pimbi tuUmetoa tuhuma bila ushahidi wala uthibitisho.
Wewe mzushi tu.
Sitaki mazoea na wasenge. Marinda wakutatue wengine huko kilio ulete humu, kafie mbali huko.Kwa hiyo tangu umeanza ushoga kwa hiari ndiyo umekuwa na tabia ya kujaribu kukisia kujua kama unaojibizana na na wenyewe ni mashoga kama ulivyo?
Labda nikupe ushauri wa kiungwana, hako katabia ka kuruhusu wenzako wakuingilia siyo kazuri, jitahidi uachane nako, tafuta mwanadaikolojia, atakusaidia sana
Utu na ubinadam no longer exists, thanks to politicians walio koleza hii michezoPamoja na kuchukiana na kutofautiana kutokana na itikadi za kisiasa,si vizuri
Kuzusha au kufurahia mtu kupoteza maisha.
Tutangulize Utu na ubinadamu kwanza
Mimi nimeweka sababu na ushahidi kuwa wewe ni mzushi.Hata wewe MZUSHI tu, huna lolote pimbi tu
Mh!Kweli?? Kuna ukweli wowote?Kafurahia habari za kifo Cha mkuu wa kaya
Wewe ni mzushi kwa kuwa umenisingizia mimi uzushi wakati wewe ndie mzushi mkubwa kwa kukataa kwa makusudi au kujifanya huoni ushahidi uliomo humu uzini kwamba wakristo wanafurahi na wanaombea muislamu afe tena hasa muislamu rais wa inchi,Mimi nimeweka sababu na ushahidi kuwa wewe ni mzushi.
Wewe umezusha tu kuwa mimi ni mzushi na hivyo kuthibitisha kuwa wewe ni mzushi.
Kapumbavu, eti Amphibia! Nyie mmemshindwa mpaka msaidiwe na wengine kaone! 4 o'clock mnapigwa tu! Wanaficha nini sasa? Lakini tangu kipindi kile si tulikubaliana kama Taifa kwamba tuwe tunapeana taarifa za ugonjwa? Aangalie kiti kitaenda u'wachu!Mimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua
Kwa kawaida hii teka teka iliyotokea Huwa hahusiki kwenye Kila tukio mengine Huwa sio yake!!Yeyote yule anayeyasimamiana kuyalinda magenge ya utekaji na uuaji akitangulia itakuwa nafuu kwa Taifa.
Nipe mbinu za kumpenda adui yangu, hili limenishinda kabisa.Haya maisha tutendeane mema na kuombeana dua njema. Tukumbuke maneno haya:
Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Mwisho wa siku kila mtu atalamba sakafu.
HE!hivi uko sawa kweli?Huyo Bora angekufa tu kwenye ajali aliyopata juzi
Mkuu so tujiandae Islael anatutembelea tena msimu huu?Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Kuna tatizo kwani!?HE!hivi uko sawa kweli?
Yule mwamba kasababisha wenye vipara tuonekane watu wa hovyo kabisa.Wengine tunahangaika na episode za Balthazar tu, hatujui kitu tena.