Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono

Hakuna bwashee ni udini tu,
Sikatai watu wachukie kwa udini, lakini isifike kuuwana kwa udini kwa kuwa kufa ni wanakufa dini zote
Viongozi na Watanzania mbalimbali waliowahi kuzushiwa kifo kumbe sio, ni wa dini moja tu ya kwako ? Imethibitishwa kwamba anayekimbilia kujitetea kwenye udini yeye ndiye mdini mkubwa.
 
Kwa hiyo tangu umeanza ushoga kwa hiari ndiyo umekuwa na tabia ya kujaribu kukisia kujua kama unaojibizana na na wenyewe ni mashoga kama ulivyo?
Labda nikupe ushauri wa kiungwana, hako katabia ka kuruhusu wenzako wakuingilia siyo kazuri, jitahidi uachane nako, tafuta mwanadaikolojia, atakusaidia sana
Sitaki mazoea na wasenge. Marinda wakutatue wengine huko kilio ulete humu, kafie mbali huko.
 
Mimi nimeweka sababu na ushahidi kuwa wewe ni mzushi.

Wewe umezusha tu kuwa mimi ni mzushi na hivyo kuthibitisha kuwa wewe ni mzushi.
Wewe ni mzushi kwa kuwa umenisingizia mimi uzushi wakati wewe ndie mzushi mkubwa kwa kukataa kwa makusudi au kujifanya huoni ushahidi uliomo humu uzini kwamba wakristo wanafurahi na wanaombea muislamu afe tena hasa muislamu rais wa inchi,

Lakini kikubwa kuliko yote ni kuthibitika kwako leo kwamba wewe una dini na dini yako ni ukristo, na ndio maana post imekugusa sana na umeimaind kweli kweli

Kidogo kidogo tu itajulikana
Mjomba mzushi
 
Mimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua
Kapumbavu, eti Amphibia! Nyie mmemshindwa mpaka msaidiwe na wengine kaone! 4 o'clock mnapigwa tu! Wanaficha nini sasa? Lakini tangu kipindi kile si tulikubaliana kama Taifa kwamba tuwe tunapeana taarifa za ugonjwa? Aangalie kiti kitaenda u'wachu!
 
Yeyote yule anayeyasimamiana kuyalinda magenge ya utekaji na uuaji akitangulia itakuwa nafuu kwa Taifa.
Kwa kawaida hii teka teka iliyotokea Huwa hahusiki kwenye Kila tukio mengine Huwa sio yake!!

Ni mfumo huamua TU kwa malengo maalum!

Hasta enzi ya chato alishangaa utekwaji wa Mo dewji hadharani,akishangaa inawezekanaje igp na mambo Sasa wapo na tukio likatokea!!!

Hayo hufanyika Kwa malengo maalum!!!
 
Haya maisha tutendeane mema na kuombeana dua njema. Tukumbuke maneno haya:

Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

Mwisho wa siku kila mtu atalamba sakafu.
Nipe mbinu za kumpenda adui yangu, hili limenishinda kabisa.
 
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Mkuu so tujiandae Islael anatutembelea tena msimu huu?
 
Back
Top Bottom