Naked
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 293
- 805
Mpogo hivyo tuYule mwamba kasababisha wenye vipara tuonekane watu wa hovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpogo hivyo tuYule mwamba kasababisha wenye vipara tuonekane watu wa hovyo kabisa.
Hata kwako laweza tokeaNitafurahi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa likitokea la kutokea.
Umesema ilikuwaje ulipokuwa unatatuliwa? Ila sasa hivi si umeshajizoeleaSitaki mazoea na wasenge. Marinda wakutatue wengine huko kilio ulete humu, kafie mbali huko.
hakika, Mungu atunusuru.Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Yah litatokea kwa kila mtu hata wewe pia mkuu.Hata kwako laweza tokea
Nipe mbinu za kumpenda adui yangu, hili limenishinda kabisa.
Mchabganyiko wa humu unaweza sema kuna waungwana, wanga, wachawi na machizi fresh au mwezi mchanga.🤣🤣🤣 Shida utani wa humu watu uchukulia serious.
Mpuuze mkuu...huenda mlitaniana akakasirika
Furaha ya nini sasa hapoYah litatokea kwa kila mtu hata wewe pia mkuu.
Furaha ipi? Hujui kama kifo ni ibada???Furaha ya nini sasa hapo
ndiyo mkuuHii au nyingineView attachment 3147870
Wote wapoMchabganyiko wa humu unaweza sema kuna waungwana, wanga, wachawi na machizi fresh au mwezi mchanga.
Hilo nalijua, niambie wewe umewezaje!?Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana..
You are not worth my shells.Wewe ni mzushi kwa kuwa umenisingizia mimi uzushi wakati wewe ndie mzushi mkubwa kwa kukataa kwa makusudi au kujifanya huoni ushahidi uliomo humu uzini kwamba wakristo wanafurahi na wanaombea muislamu afe tena hasa muislamu rais wa inchi,
Lakini kikubwa kuliko yote ni kuthibitika kwako leo kwamba wewe una dini na dini yako ni ukristo, na ndio maana post imekugusa sana na umeimaind kweli kweli
Kidogo kidogo tu itajulikana
Mjomba mzushi