Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
hakika, Mungu atunusuru.
 
kuna uzi wa mwaka fulani ulipanda jamaa aliezea hali fulani ya taifa, mtukuka GENTAMYCINE naye kaanzisha uzi una mafumbo matupu akitaja hospitali ya cuba. haya tena mshana jr naye kaja na tetesi za msechu kudaiwa kuingia studio. wengine tutapita tu katikati ya mafumbo haya yatafunguka yenyewe
 
Hatupendi mabaya yamkute yeyote sio hulka ya mtanzania ila wenye mamlaka za kiprofesheno tendeni haki jitengengeni na siasa za kuleta chuki kwenye taifa vyombo vya ulinzi na usalama jitengeni na wanasiasa kwasababu mwisho wa siku nyie ndio mtaulizwa mlikuwa wapi wakati taifa linadondoka? Mwisho naomba mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu no matter what they do now na tanuru gani wanawapitisha baadhi ya watanzania ila awajaalie afya njema waione tanzania mpya ambayo wao waliikataa kwa nguvu za dola hasa polisi.
 
Wewe ni mzushi kwa kuwa umenisingizia mimi uzushi wakati wewe ndie mzushi mkubwa kwa kukataa kwa makusudi au kujifanya huoni ushahidi uliomo humu uzini kwamba wakristo wanafurahi na wanaombea muislamu afe tena hasa muislamu rais wa inchi,

Lakini kikubwa kuliko yote ni kuthibitika kwako leo kwamba wewe una dini na dini yako ni ukristo, na ndio maana post imekugusa sana na umeimaind kweli kweli

Kidogo kidogo tu itajulikana
Mjomba mzushi
You are not worth my shells.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
 
Ok
 

Attachments

  • IMG_20241110_013929_096.jpg
    IMG_20241110_013929_096.jpg
    315.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom