Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥺🥺🥺🥺Kapumbavu, eti Amphibia! Nyie mmemshindwa mpaka msaidiwe na wengine kaone! 4 o'clock mnapigwa tu! Wanaficha nini sasa? Lakini tangu kipindi kile si tulikubaliana kama Taifa kwamba tuwe tunapeana taarifa za ugonjwa? Aangalie kiti kitaenda u'wachu!
Huna hoja ndio ukatoroka,You are not worth my shells.
Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Tetesi zinapotokea, ni muhimu kuwa na kiasi cha tahadhari kwa sababu hazina uhakika. Hata hivyo, tetesi zinaweza kuwa chanzo cha breaking news kama zinathibitishwa na vyombo rasmi, lakini kwa kawaida, breaking news ni habari iliyo na uthibitisho rasmi na inayohitaji umakini mkubwa katika utoaji wa taarifa
🥺🤔🙇🏿♂🙌🏿Kuzungumza ukweli wa kujenga kwa mamlaka sio kuwadharau, badala yake ni kuwa na heshima na kusaidia. Kuwaambia mamlaka kile wanachotaka kusikia hata tunapojua hakina msaada kwao ni uhalifu.Siti ya nyuma
Samehe 7x70You are not worth my shells.
Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Wata wanaoishi marekani wapo wa hovyo kama hao na hata zaidi yao.Ila baadhi ya watu wanaoishi Tanzania ni watu wa hovyo sana
Kumbe ndo maana hii imekuwa habari kubwa hadi nikawa najiuliza kwani mwamba alikuwa nani? Imekuwaje kawa maarufu baada ya kufa? Aliugua kwa muda mrefu? Au alipata ajali?!🥺🤔🙇🏿♂🙌🏿Kuzungumza ukweli wa kujenga kwa mamlaka sio kuwadharau, badala yake ni kuwa na heshima na kusaidia. Kuwaambia mamlaka kile wanachotaka kusikia hata tunapojua hakina msaada kwao ni uhalifu.
20:54 13 Mei 24 Maoni 6,836View attachment 3148180
Kumbe ndo maana hii imekuwa habari kubwa hadi nikawa najiuliza kwani mwamba alikuwa nani? Imekuwaje kawa maarufu baada ya kufa? Aliugua kwa muda mrefu? Au alipata ajali?!
Hadi sasa bado najiuliza, sijapata jibu
MarehemuNani?
Aliugua kwa muda mrefu? Au alipata ajali?!Kumbe ndo maana hii imekuwa habari kubwa hadi nikawa najiuliza kwani mwamba alikuwa nani? Imekuwaje kawa maarufu baada ya kufa? Aliugua kwa muda mrefu? Au alipata ajali?!
Hadi sasa bado najiuliza, sijapata jibu
Hana hatia huyu mtu, maana hakuhusika ila anawajua wahusika.Hata mimi nahusika kwenye hii reply? Maana hakuna popote nilipotaja kifo waala kumtaja yoyote
kuna jamaa mmoja Katavi alifurahi sana kifo cha magu, akaenda piga pombe balaa tena gongo bila ya kula asubuhi kaamka hoi,hosp kapelekwa kachapwa dripu za kutosha jioni ikawa ntoleeeeeeTumuombee binadamu mwenzetu apone, kama kweli anaumwa. Watu hupenda kufurahia vifo, hata bila kujua kuwa huenda they'll be next.
Alitaka kuweka breki ukopaji?Aliugua kwa muda mrefu? Au alipata ajali?!
Hadi sasa bado najiuliza, sijapata jib u
Kwakweli hata Mimi sifahamu ila kifo chake kimenifanya nitishike sana.. Na baada ya View attachment 3148219
Salary Slip hii habari mbaya kama ni kweli Bi Mkubwa hapaswi kuugua na kundoka tunampenda sana. Yaani yeye ni catalyst na kiunganishi. Hatuna mwingine. Tulilia na bado tunaomboleza kifo cha kwanini Mchate alikufa ila kwa Bi mkubwa tumuombee Mungu amue