Makubaliano na timu yanafanyika tu muda wowote, ila kuingizwa kwenye system ya FIFA ndo hadi dirisha lifunguliwe au kama mchezaji ni huruHIV afrika kuna madirisha mangap ya usajiri ,mbona vurugu tu naona
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
maisha yapo kasi sana mtani, eti sasa hivi simba tunagombania mchezaji mmoja, na tp mazembe pamoja na as vita.Ataweza kuzuiliwa tu Mtani.
Kama hela ipo Mtani hakuna cha kushangaza hapo.maisha yapo kasi sana mtani, eti sasa hivi tunagombania mchezaji mmoja, na tp mazembe pamoja na as vita.
HahahaaWatangazaji utasikia sengeeeee...simba moja
hahaha umenijibu kionyonge kweli.Kama hela ipo Mtani hakuna cha kushangaza hapo.
Niaje lakini?
Okwi hata akibakia ana udamvi udamvi mwingi jamaa, huwa hanyumbuliki.Itabidi sasa okwi atupishe, nilisikia anaenda south afrika
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Hahahaaa. Umefanya nicheke lol.hahaha umenijibu kionyonge kweli.
Niko pouwa mtani, tunalia na mvua tu wa vijijini.
Poleni sana. Ila iligoma kunyesha kwa muda hivyo sio mbaya ikiwepo kikubwa M'mungu asaidie isilete maafa tu.hahaha umenijibu kionyonge kweli.
Niko pouwa mtani, tunalia na mvua tu wa vijijini.
Sasa hivi mitaa ya jangwani tukikohoa tu, tuna mchukua yeyote, ngojea tuwape ndemla tumchukue mutu muhuni yondani, ajibu na fei, muanze upya tenaHahahaaa. Umefanya nicheke lol.
Eti nimejibu kihuruma. 🙈 Ni ukweli huo Mtani pesa ikiwepo hakuna linaloshindikana Mtani.
Hata watoto watawashangaa Mtani ikiwa mutategemea wachezaji wetu ndio muimarishe kikosi chenu.Sasa hivi mitaa ya jangwani tukikohoa tu, tuna mchukua yeyote, ngojea tuwape ndemla tumchukue mutu muhuni yondani, ajibu na fei, muanze upya tena
Usijikie unyonge sana,mpaka hurumaKama hela ipo Mtani hakuna cha kushangaza hapo.
Niaje lakini?
😀😀😀😀Usijikie unyonge sana,mpaka huruma
Mtu kama ajibu sio tetesi tena mtani tuna mchukua, alipotea njia mtani acha tumrudishe nyumbani, Sisi tu nataka kuwa kama fc Bayern anavyo ibomoaga borusia dortmond. Siku hizi mbona mmekuwa wapole sana watani zetu. why this.Hata watoto watawashangaa Mtani ikiwa mutategemea wachezaji wetu ndio muimarishe kikosi chenu.
Tumekuwa wapole Mtani sababu "Mambo mengi halafu muda mchache"Mtu kama ajibu sio tetesi tena mtani tuna mchukua, alipotea njia mtani acha tumrudishe nyumbani, Sisi tu nataka kuwa kama fc Bayern anavyo ibomoaga borusia dortmond. Siku hizi mbona mmekuwa wapole sana watani zetu. why this.
Haha kweli hajji manara sio mtu mzuri.Tumekuwa wapole Mtani sababu "Mambo mengi halafu muda mchache"
😀😀😀Haha kweli hajji manara sio mtu mzuri.
Nimeiona Mtani. Ila umemisika maana unaonekana kutokana na matukio tu.