Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

HIV afrika kuna madirisha mangap ya usajiri ,mbona vurugu tu naona

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Makubaliano na timu yanafanyika tu muda wowote, ila kuingizwa kwenye system ya FIFA ndo hadi dirisha lifunguliwe au kama mchezaji ni huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Umefanya nicheke lol.

Eti nimejibu kihuruma. 🙈 Ni ukweli huo Mtani pesa ikiwepo hakuna linaloshindikana Mtani.
Sasa hivi mitaa ya jangwani tukikohoa tu, tuna mchukua yeyote, ngojea tuwape ndemla tumchukue mutu muhuni yondani, ajibu na fei, muanze upya tena
 
Hata watoto watawashangaa Mtani ikiwa mutategemea wachezaji wetu ndio muimarishe kikosi chenu.
 
Mtu kama ajibu sio tetesi tena mtani tuna mchukua, alipotea njia mtani acha tumrudishe nyumbani, Sisi tu nataka kuwa kama fc Bayern anavyo ibomoaga borusia dortmond. Siku hizi mbona mmekuwa wapole sana watani zetu. why this.
 
Tumekuwa wapole Mtani sababu "Mambo mengi halafu muda mchache"
 
Back
Top Bottom