kwasababu ya kauli ya huyu jamaa?Nawachukia sana polisi.
Uhuru upi unaosema Mkuu?Ss tz uhuru waliutafuta kazi gani?
Mmmbwa aa waleNawachukia sana polisi.
Ila tabia ya kuzusha siyo nzuri ,huna sababu ya kuwapa watu hofu au kuleta jambo humu kama huna uhakika ,peleka hizo habari kijiweniKatika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
It is common in the countries that have the totalitarian regime like ours, even Nelson Mandela was accused of commiting the 'acts of terror,' hence was sentenced to the life imprisonment in jail.Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Dunia tunapita. Ngoma huko baada ya kufufuliwaKatika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Kama ni kweli usemayo basi ule mpango mkakati wa kumtengenezea Samia ajali ya kisiasa utakuwa unakwenda vizuri ili mambo yaharibike sana.Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Rais William Ruto Yuko sahihi, ameongea ukweli mchungu.