TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

Kama waliweza kutunga kesi ya Ugaidi ya Mbowe sitoshangaa hili kabisa!
Wa Tanzania tusali sana kumuomba Mola wetu ili atuondolee huu mtanziko tulio nao nchini,
 
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.

YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
4R inafanya kazi.

Kesi ya mauaji lazima kuwe na ushahidi pasi shaka
 
Huko mahakamani ndiyo kwenye
Acha waende watacheza ngoma
vizuri,na kesi ikifika huko huyo mfwl ndiyo ataanikwa zaidi

Ova
 
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.

YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Mama yenu utawala umemkataa
Kama anawategemea akina mafele ndo basi tena

Asubiri kurudi kwao kizimkazi bila kitu
Nasikitika ataiachia bandari
 
Back
Top Bottom