Itakuwa vema ili ukweli utekaji na mauaji yajulikane.Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE