Itakuwa vema ili ukweli utekaji na mauaji yajulikane.Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Kwahiyo Mnyika ndiye aliyemtoa kwenye bus? Mnyika as katibu Mkuu ana wajibu wa kumtafuta mwanachama/kiongozi wake kwa nafasi yake.Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Uhuru Wa ile picha ya Nyerere kabeba bango linasoma Full independent 1961Uhuru upi unaosema Mkuu?
Amemuua nani na wapi...?Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Tunajua wanaonywea pombeNawachukia sana polisi.
Binafsi nashangaa Sana kuona serikali inawaogopa chadema Wakati hicho chama mtu mwenye akili timamu hawezi kukichagua.TO BE TRUTH SIONI UHATARI WOWOTE WA CHADEMA KATIKA TAIFA HILI, WAACHWE WAANDAMANE, TUWALINDE, TUTASHINDANA NAO KWENYE SANDUKU LA KURA PEKEE SIFAHAMU KWA NINI SEREKALI IMESHIKWA NA WOGA.
sqKatika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Kama ni kweli kuna shida sana kwenye mfumo wa utawalaKatika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
kwahivyo,Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.
YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
Upole na ukimya wa watanzania utawamaliza CDM,Naunganisha dots kwa nini Nchimbi alimtetea sana Mnyika ? Wakishapanga kumpa kesi mauaji? Naogopa sana hili jambo sanaa police wabaya sana wanatumika manufaa wanasiasa....
Inasikitisha sana kuona chadema walivyopuuzia 4R na kuanzisha matusi majukwaani.TO BE TRUTH SIONI UHATARI WOWOTE WA CHADEMA KATIKA TAIFA HILI, WAACHWE WAANDAMANE, TUWALINDE, TUTASHINDANA NAO KWENYE SANDUKU LA KURA PEKEE SIFAHAMU KWA NINI SEREKALI IMESHIKWA NA WOGA.
Kwa hilo acha litokee ......muda utaongeaUpole na ukimya wa watanzania utawamaliza CDM,
Police wanaamini CDM hawana backup ya wananchi road ndiyo maana wanawafanya wanavyotaka.