Kama waliweza kutunga kesi ya Ugaidi ya Mbowe sitoshangaa hili kabisa! Wa Tanzania tusali sana kumuomba Mola wetu ili atuondolee huu mtanziko tulio nao nchini,
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake.