Tetesi kuhusu usajili Bongo kuelekea msimu 2020/21

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.

Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi

Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
 
Ali Niyonzima kutumiwa tiketi na Yanga kisha kuja Bongo, kushindwana nayo katika dau, kuwapigia simu mabosi wa Simba kwamba kama wanamuhitaji yupo Bongo, mabosi wa Simba kumueleza live kuwa hana nafasi ya kuchukua katika kikosi kilichopo Msimbazi, kurudi Rwanda
 
Yanga mwezi uliopita kusema Tshishimbi ameshasaini mkataba mpya miaka miwili, halafu leo kusema Tshishimbi kama hataki kusaini mkataba mpya habembelezwi, aondoke zake!
Yanga ni Fasaf inayojitegemea
 
Ali Niyonzima kutumiwa tiketi na Yanga kisha kuja Bongo, kushindwana nayo katika dau, kuwapigia simu mabosi wa Simba kwamba kama wanamuhitaji yupo Bongo, mabosi wa Simba kumueleza live kuwa hana nafasi ya kuchukua katika kikosi kilichopo Msimbazi, kurudi Rwanda
Simba timu kubwa inapokonyana wachezaji na TP Mazembe
 
Simba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
 
Hana mkataba na Yanga. Hata Tshitshimbi tuliambiwa ameshaongeza miaka miwili, leo Yanga wanasema anawasumbua kusaini
 
Morison na Tshishimbi hawana mkataba na yanga, halafu usifananishe Simba na team yenu ya kuokotaokota Kama Nyani sawa? Simba ina uwezo wa kusajili mchezaji yeyote alie kwenye mkataba
 
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.

Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi

Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Ilanfya anacheza position gani?
 
Mipovuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana mkataba na Yanga. Hata Tshitshimbi tuliambiwa ameshaongeza miaka miwili, leo Yanga wanasema anawasumbua kusaini
Yaan .....jalafu tuambiwa mwenye mashaka aingie website ya Fifa, leo tunaambia yanga inataka kupeleka mkataba wake Fifa
 
Simba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Hivi Kiongozi wa Masokwe FC aliyejinasibu kaongea na Tripple C kafungiwa miaka mingapi kaka Utopolo de Laliga
 
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.

Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi

Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Awesu keshasaini Azam fc mchezaji anayejitambua hawezi kwenda uneducated team
 
Morison na Tshishimbi hawana mkataba na yanga, halafu usifananishe Simba na team yenu ya kuokotaokota Kama Nyani sawa? Simba ina uwezo wa kusajili mchezaji yeyote alie kwenye mkataba
Hizo hela mnapata wapi? Maana unaongea utadhani zinatoka mfukoni mwako.
 
Simba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Kuna mtu yanga atafungwa Kwa kosa la kufoji saini "forgery ambalo ni kuanzia miaka 15"Morrison Hana mkataba
 
Back
Top Bottom