Tetesi kuhusu usajili Bongo kuelekea msimu 2020/21

Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.

Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi

Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
awesu kaenda azam
mwamnyeto coastal wanataka m100 nadhani atachina hapo hapo

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Simba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Labda kwa ufupi tu nikueleze
katika mfumo mpya wa kadi za mashabiki Simba wanapata TSH 14,000/- katika kila TSH 22,000/- anayolipia shabiki kupata kadi ya simba na kila mwaka shabiki atalipia Tsh 12,000/-
Lengo ni kupata mashabiki wenye kadi angalau M5
Mpaka Sasa mashabiki Zaidi ya M1 wamechukua kadi

piga hesabu 12,000*1,000,000
unapata B12 kwa mwaka
kwa pesa hii simba wanaweza mnunua mchezaji yoyote

MFANO MZURI NI LUIS MIKSON HIV UNAJUA SIMBA WAMELIPA KIASI GANI KWA ORLANDO PIRATES

achilia mbali pesa za udhamini

pia nikukumbushe miamala yote inayofanywa na mashabiki wa simba wenye kadi za equity kupitia equity bank kama kununua umeme kununua vocha kutoa pesa kulipa maji kama makato ni TSH 100 SIMBA anapata 50 na Equity 50
hebu jiulize kwa mwezi simba anaingiza kiasi gani

LAZIMA TUKUBALI KIUENDESHAJI SIMBA SASA WAKO MBALI MNO

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Sasa napata picha kwanini mli itwa Mbumbumbu, hunalolote unalo fahamu kuhusu Simba inavyo endeshwa. Kama ukitaka kufahamu ukweli jinsi Simba inavyo endeshwa watafute watu walio karibu na timu. Ukimwondoa MO, Mapato yote ya Simba katika mwaka hayana uwezo wa kuindesha Simba kwa miezi mitatu ikiwa katika mashindano mbalimbali. Kama utabisha sawa,Ila subiri upepo utakapo vuma utaziona nyeti za Simba zina haligani.
 
huijui simba

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
azam
Screenshot_2020-07-31-12-53-28.jpg

Unajidanganya
 
Vilabu vya Tanzania vyote vinajiendesha kwa hasara, yaani mapato wanayo ingiza ni madogo kuliko matumizi. Kazi kuchangishana tu
 
Labda kwa ufupi tu nikueleze
katika mfumo mpya wa kadi za mashabiki Simba wanapata TSH 14,000/- katika kila TSH 22,000/- anayolipia shabiki kupata kadi ya simba na kila mwaka shabiki atalipia Tsh 12,000/-
Lengo ni kupata mashabiki wenye kadi angalau M5
Mpaka Sasa mashabiki Zaidi ya M1 wamechukua kadi

piga hesabu 12,000*1,000,000
unapata B12 kwa mwaka
kwa pesa hii simba wanaweza mnunua mchezaji yoyote

MFANO MZURI NI LUIS MIKSON HIV UNAJUA SIMBA WAMELIPA KIASI GANI KWA ORLANDO PIRATES

achilia mbali pesa za udhamini

pia nikukumbushe miamala yote inayofanywa na mashabiki wa simba wenye kadi za equity kupitia equity bank kama kununua umeme kununua vocha kutoa pesa kulipa maji kama makato ni TSH 100 SIMBA anapata 50 na Equity 50
hebu jiulize kwa mwezi simba anaingiza kiasi gani

LAZIMA TUKUBALI KIUENDESHAJI SIMBA SASA WAKO MBALI MNO

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Maelezo mazuri...bt Luis alikuwa mchezaji wa Mamelody...pia fuatilia vizuri usajili wake...yule mkataba wake na Mamelody ulikua kama hewa hivi.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una uhakika gani kama Mirrison hajasaini Yanga mna vichwa vigumu Yanga walimwambia kama hana mkataba akasaini kwenye timu inayomtaka bado haendi hapa ni kutumia akili ndogo tu hivi simba ni timu ya kuifananisha ba Mazembe iliyokupiga goli tano shame on you
 
Hizo hela zinaingia kwenye acct ya mhindi Mo sio acct ya simba nenda kaangalie acc ya simba kama ina kitu Mo anawala aikili ndiyo maana hata uwanja ule hautwi wa simba bali Mo hamna kitu hapo
 
Sasa napata picha kwanini mli itwa Mbumbumbu, hunalolote unalo fahamu kuhusu Simba inavyo endeshwa. Kama ukitaka kufahamu ukweli jinsi Simba inavyo endeshwa watafute watu walio karibu na timu. Ukimwondoa MO, Mapato yote ya Simba katika mwaka hayana uwezo wa kuindesha Simba kwa miezi mitatu ikiwa katika mashindano mbalimbali. Kama utabisha sawa,Ila subiri upepo utakapo vuma utaziona nyeti za Simba zina haligani.
Yaani we ni bata
Mo hafadhili ni mwekezaji anafanya biashara na Simba hatoi hisani anatumia jina la Simba kuongeza faida huku Simba ikifaidika pia

Simba haina mtu anaetoa pesa anaeitwa Mo
Simba ina investor ambae ni Mohammed Dewji mwenye hisa 49% na pesa hatoi kwenye account pesa za simba zinatoka kwenye account ya club ambazo Mo ndio kawekeza

Hujui Kitu kaa soma uelewe
 
Unatumia Nguvu sana mkuu kuwajibu hawa manyani

Back
Top Bottom