Labda kwa ufupi tu nikueleze
katika mfumo mpya wa kadi za mashabiki Simba wanapata TSH 14,000/- katika kila TSH 22,000/- anayolipia shabiki kupata kadi ya simba na kila mwaka shabiki atalipia Tsh 12,000/-
Lengo ni kupata mashabiki wenye kadi angalau M5
Mpaka Sasa mashabiki Zaidi ya M1 wamechukua kadi
piga hesabu 12,000*1,000,000
unapata B12 kwa mwaka
kwa pesa hii simba wanaweza mnunua mchezaji yoyote
MFANO MZURI NI LUIS MIKSON HIV UNAJUA SIMBA WAMELIPA KIASI GANI KWA ORLANDO PIRATES
achilia mbali pesa za udhamini
pia nikukumbushe miamala yote inayofanywa na mashabiki wa simba wenye kadi za equity kupitia equity bank kama kununua umeme kununua vocha kutoa pesa kulipa maji kama makato ni TSH 100 SIMBA anapata 50 na Equity 50
hebu jiulize kwa mwezi simba anaingiza kiasi gani
LAZIMA TUKUBALI KIUENDESHAJI SIMBA SASA WAKO MBALI MNO
Sent from my M4 using
JamiiForums mobile app