mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Yanga ni Fasaf inayojitegemeaYanga mwezi uliopita kusema Tshishimbi ameshasaini mkataba mpya miaka miwili, halafu leo kusema Tshishimbi kama hataki kusaini mkataba mpya habembelezwi, aondoke zake!
Simba timu kubwa inapokonyana wachezaji na TP MazembeAli Niyonzima kutumiwa tiketi na Yanga kisha kuja Bongo, kushindwana nayo katika dau, kuwapigia simu mabosi wa Simba kwamba kama wanamuhitaji yupo Bongo, mabosi wa Simba kumueleza live kuwa hana nafasi ya kuchukua katika kikosi kilichopo Msimbazi, kurudi Rwanda
Hana mkataba na Yanga. Hata Tshitshimbi tuliambiwa ameshaongeza miaka miwili, leo Yanga wanasema anawasumbua kusainiSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Morison na Tshishimbi hawana mkataba na yanga, halafu usifananishe Simba na team yenu ya kuokotaokota Kama Nyani sawa? Simba ina uwezo wa kusajili mchezaji yeyote alie kwenye mkatabaSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Ilanfya anacheza position gani?Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Mbumbumbu fc tulieni ii michezo nyie bado wachanga.Morison na Tshishimbi hawana mkataba na yanga, halafu usifananishe Simba na team yenu ya kuokotaokota Kama Nyani sawa? Simba ina uwezo wa kusajili mchezaji yeyote alie kwenye mkataba
MipovuuuuuSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Manyani fc, aka Zero Fc in Luc voiceMbumbumbu fc tulieni ii michezo nyie bado wachanga.
Yaan .....jalafu tuambiwa mwenye mashaka aingie website ya Fifa, leo tunaambia yanga inataka kupeleka mkataba wake FifaHana mkataba na Yanga. Hata Tshitshimbi tuliambiwa ameshaongeza miaka miwili, leo Yanga wanasema anawasumbua kusaini
Hivi Kiongozi wa Masokwe FC aliyejinasibu kaongea na Tripple C kafungiwa miaka mingapi kaka Utopolo de LaligaSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
Bado mnawaamini viongozi wenu waliosema wamemalizana na Papy kumbe uongo. Kweli nyie vichwa vigumuYaan .....jalafu tuambiwa mwenye mashaka aingie website ya Fifa, leo tunaambia yanga inataka kupeleka mkataba wake Fifa
Awesu keshasaini Azam fc mchezaji anayejitambua hawezi kwenda uneducated teamKaribuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Hizo hela mnapata wapi? Maana unaongea utadhani zinatoka mfukoni mwako.Morison na Tshishimbi hawana mkataba na yanga, halafu usifananishe Simba na team yenu ya kuokotaokota Kama Nyani sawa? Simba ina uwezo wa kusajili mchezaji yeyote alie kwenye mkataba
Kuna mtu yanga atafungwa Kwa kosa la kufoji saini "forgery ambalo ni kuanzia miaka 15"Morrison Hana mkatabaSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.