Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
awesu kaenda azamKaribuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Labda kwa ufupi tu nikuelezeSimba haina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote mwenye mkataba achana na Uko Mazembe nazungumzia apa bongo. Kuhusu Morrison Kama hakutakua na makondokando Kuna mtu ndani ya Simba anakwenda kufungiwa kujihusisha na soka, na Timu inakwenda kulipa gharama Kama adhabu ya kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kuitaarifu klabu yake.
huijui simbaSasa napata picha kwanini mli itwa Mbumbumbu, hunalolote unalo fahamu kuhusu Simba inavyo endeshwa. Kama ukitaka kufahamu ukweli jinsi Simba inavyo endeshwa watafute watu walio karibu na timu. Ukimwondoa MO, Mapato yote ya Simba katika mwaka hayana uwezo wa kuindesha Simba kwa miezi mitatu ikiwa katika mashindano mbalimbali. Kama utabisha sawa,Ila subiri upepo utakapo vuma utaziona nyeti za Simba zina haligani.
mpuuzi yule nani ampe 100mawesu kaenda azam
mwamnyeto coastal wanataka m100 nadhani atachina hapo hapo
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Mwamnyeto hana thamani hiyo, ana tamaa sana na baadae atajutia sana msimamo wako. Yanga waliweka mezani 60m akataka 80m wakamuacha, sasa hivi eti 100 loohawesu kaenda azam
mwamnyeto coastal wanataka m100 nadhani atachina hapo hapo
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
UnajidanganyaLabda kwa ufupi tu nikueleze
katika mfumo mpya wa kadi za mashabiki Simba wanapata TSH 14,000/- katika kila TSH 22,000/- anayolipia shabiki kupata kadi ya simba na kila mwaka shabiki atalipia Tsh 12,000/-
Lengo ni kupata mashabiki wenye kadi angalau M5
Mpaka Sasa mashabiki Zaidi ya M1 wamechukua kadi
piga hesabu 12,000*1,000,000
unapata B12 kwa mwaka
kwa pesa hii simba wanaweza mnunua mchezaji yoyote
MFANO MZURI NI LUIS MIKSON HIV UNAJUA SIMBA WAMELIPA KIASI GANI KWA ORLANDO PIRATES
achilia mbali pesa za udhamini
pia nikukumbushe miamala yote inayofanywa na mashabiki wa simba wenye kadi za equity kupitia equity bank kama kununua umeme kununua vocha kutoa pesa kulipa maji kama makato ni TSH 100 SIMBA anapata 50 na Equity 50
hebu jiulize kwa mwezi simba anaingiza kiasi gani
LAZIMA TUKUBALI KIUENDESHAJI SIMBA SASA WAKO MBALI MNO
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Huyu alikua timu gani
Maelezo mazuri...bt Luis alikuwa mchezaji wa Mamelody...pia fuatilia vizuri usajili wake...yule mkataba wake na Mamelody ulikua kama hewa hivi.Labda kwa ufupi tu nikueleze
katika mfumo mpya wa kadi za mashabiki Simba wanapata TSH 14,000/- katika kila TSH 22,000/- anayolipia shabiki kupata kadi ya simba na kila mwaka shabiki atalipia Tsh 12,000/-
Lengo ni kupata mashabiki wenye kadi angalau M5
Mpaka Sasa mashabiki Zaidi ya M1 wamechukua kadi
piga hesabu 12,000*1,000,000
unapata B12 kwa mwaka
kwa pesa hii simba wanaweza mnunua mchezaji yoyote
MFANO MZURI NI LUIS MIKSON HIV UNAJUA SIMBA WAMELIPA KIASI GANI KWA ORLANDO PIRATES
achilia mbali pesa za udhamini
pia nikukumbushe miamala yote inayofanywa na mashabiki wa simba wenye kadi za equity kupitia equity bank kama kununua umeme kununua vocha kutoa pesa kulipa maji kama makato ni TSH 100 SIMBA anapata 50 na Equity 50
hebu jiulize kwa mwezi simba anaingiza kiasi gani
LAZIMA TUKUBALI KIUENDESHAJI SIMBA SASA WAKO MBALI MNO
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Yaani we ni bataSasa napata picha kwanini mli itwa Mbumbumbu, hunalolote unalo fahamu kuhusu Simba inavyo endeshwa. Kama ukitaka kufahamu ukweli jinsi Simba inavyo endeshwa watafute watu walio karibu na timu. Ukimwondoa MO, Mapato yote ya Simba katika mwaka hayana uwezo wa kuindesha Simba kwa miezi mitatu ikiwa katika mashindano mbalimbali. Kama utabisha sawa,Ila subiri upepo utakapo vuma utaziona nyeti za Simba zina haligani.
Yaani we ni bata
Mo hafadhili ni mwekezaji anafanya biashara na Simba hatoi hisani anatumia jina la Simba kuongeza faida huku Simba ikifaidika pia
Simba haina mtu anaetoa pesa anaeitwa Mo
Simba ina investor ambae ni Mohammed Dewji mwenye hisa 49% na pesa hatoi kwenye account pesa za simba zinatoka kwenye account ya club ambazo Mo ndio kawekeza
Hujui Kitu kaa soma uelewe
Rage hakukosea kuwaita MbumbumbuAwesu keshasaini Azam fc mchezaji anayejitambua hawezi kwenda uneducated team