Sasa kama ni hivyo kwa nini sasa mnalialia ovyoovyo?
Usijitoe ufahamu na kuanza kujilizaliza ovyo!!! Utu upi wewe unaouongelea? Oct 07,2023 magaidi hao walifanya utu gani kwa Kubaka,kuua watu 1,200 na kuteka nyara wengine 251 huo ndiyo utu kwenu?Mtu yeyote mwenye utu hawezi kukubali kuona binadamu wanakaliwa kimabavu kwa miaka 75, majumba yao yanakuwa demolished, Checkpoints kila mahali, kidnapping ya watoto, mauaji ya wanawake na watoto, kila kukicha. Ukiwa na chembe ya utu utaona tu kuwa binadamu aliyeumbwa na Mungu hupaswi kumfanyia ukatili huo kwa miaka yote hiyo 75
Mkuu.Pale lazima wawepo umedi na uajemi walikuapo huko piaMchanganyiko ulioko pale middle east sio wa kawaida. Unashangazwa na mama wa rais wa Wapalestina, Iran je? Remember Iran unapita Iraq kwanza ndio ufike Iran; yaani kama Bongo hapa (of course li nchi letu ni likubwa compared with those countries there) upite Uganda ndio ufike Sudan/Somalia, Iran imejaza Wayahudi wa kutosha; tetesi pia zinadai, the former Iranian president Mr. Ahmednajada nae ni Jew pure.
Usijitoe ufahamu na kuanza kujilizaliza ovyo!!! Utu upi wewe unaouongelea? Oct 07,2023 magaidi hao walifanya utu gani kwa Kubaka,kuua watu 1,200 na kuteka nyara wengine 251 huo ndiyo utu kwenu?
Nakuona unajiliza tu bila kuongelea hata Mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas naona huna hata habari nao maana wao walikuwa wanaua mbuzi tu.!!!
Hata historia hujui akili yako imegota Mwaka 1948 wakati wayahudi wako hapo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita!!!
Yes na ndio maana nasema, "mchanganyiko uliopo pale middle east, sio wa kawaida"P
Mkuu.Pale lazima wawepo umedi na uajemi walikuapo huko pia
Tumia akili yako vizuri si kuanzia 1948 nimekuambia wayahudi wako huko zaidi ya miaka 3,000 iliyopita.Unazungumzia october 7, mwaka 2023
Mimi nazungumzia kuanzia 1948 mpaka leo
Hi nadhani sio kweli; Palestians hawana connection yeyote na Yakobo......, may be if you could say, wana connection na Ibrahim walau kwa mbali, ningeaminiMbona liko wazi, wapalestina wengi tu ni uzao wa Yakobo ila mababu zao walisilimu na kuadopt arabic language. Hilo linajulikana sana tu
cha ajabu kipinwalati mke wa marehemu yasser arafat ni myahudiWadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
Si huyo tu Rais wa Misri mama yake ni mayahudi mwenye asili ya MoroccoMchanganyiko ulioko pale middle east sio wa kawaida. Unashangazwa na mama wa rais wa Wapalestina, Iran je? Remember Iran unapita Iraq kwanza ndio ufike Iran; yaani kama Bongo hapa (of course li nchi letu ni likubwa compared with those countries there) upite Uganda ndio ufike Sudan/Somalia, Iran imejaza Wayahudi wa kutosha; tetesi pia zinadai, the former Iranian president Mr. Ahmednajada nae ni Jew pure.
Wapalestina hawana muingiliano wowote na waisrael hivyo hayo madai yako ni ya uongo kabisa. Wapalestina ni waarabu waliotoka kwenye nchi mbalimbali za kiarabu na waisrael ni waisrael tu.Mbona liko wazi, wapalestina wengi tu ni uzao wa Yakobo ila mababu zao walisilimu na kuadopt arabic language. Hilo linajulikana sana tu
Wapalestina hawana muingiliano wowote na waisrael hivyo hayo madai yako ni ya uongo kabisa. Wapalestina ni waarabu waliotoka kwenye nchi mbalimbali za kiarabu na waisrael ni waisrael tu.
Yes wangejua Hilo wangeelewa nini kinaendelea Hawa wayahudi ndiyo maana ni rahisi sana kwao kupata taharifa nyeti katika nchi nyingi za kiarabuYes na ndio maana nasema, "mchanganyiko uliopo pale middle east, sio wa kawaida"
Nachekaga sana nikiyaonaga maandishi ya kina Webabu na yule bro mwenye avatar ya Ayatollah wa Iran kaka gTurn ; nikiwasoma btn the line, naona kabisa hawajui chochote kuhusu middle east, wao wanadhani kila Myahudi ni muumini wa dini ya Kiyahudi, hawajui kama kuna Wayahudi waislamu, halafu wapo Wayahudi wasio amini katika Mungu kabisa; kwenye rangi za ngozi huko ndio balaa kubwa, waarabu kibao wana vijinasaba vya Kiyahudi, Saudia nimeishi na kufanya kazi pale, wenyeji wanakwambia, mji wa Madina wameishi Wayahudi karne na karne, but how do you differentiate them with natives? Ngumu, sura na rangi ya ngozi, kama wao tu. Iran na Iraq ndio kabisa. Sitaki kuizungumzia Lebanon, hiyo ni story ya siku nyingine. Rais wa sasa wa Syria angewapa majibu Waislamu wa huku Africa, but dini imewapofusha sana, hawaoni yaani. Jamaa was the most wanted with CIA, alikuwepo kwenye ile list ya 10 most wanted men/terrorists, namba 1 akiwa ni Osama Bin Laden; leo ni rais wa Syria, interesting 😑 😄
Ni wajanja, wamechukua identity zote. Ukiwabana kwenye dini wanasema wao ni taifa, ukiwabana kwenye taifa wanadai wao ni dini.swali nje ya mada kidogo,hivi wayahudi ni dini au kabila
Exactly. Niliwavulia kofia kwenye lile tukio la September 11, 2001 wakati Osama Bin Laden alipiga Pentagon na World trade center, lile jengo la World trade center kulikua na Wayahudi over 2.6k but guess what? No Jewish personel aliyefariki, nobody. How did they know hata hawakwenda kazini? I suspect maybe Osama ali requite Wayahudi kwenye kundi lake akidhani ni Waarabu wenzie; huyu rais wa Syria nadhani was one of their spy..., ni mtazamo wangu baada ya kuunganisha dots kadhaa. Kwa ufupi middle east, sisi Waislamu wa huku Africa hatuna tunacho kijua, tubakie kutazama tu matukio yanayo endelea, kushangilia na kuchukia kubakie tu kwenye akili na mioyo yetu tuYes wangejua Hilo wangeelewa nini kinaendelea Hawa wayahudi ndiyo maana ni rahisi sana kwao kupata taharifa nyeti katika nchi nyingi za kiarabu
Hili si jambo la kushangaza kwa hiyo jamii ya kiyahudi. Hilo eneno wana mtandao mkubwa. Hata baadhi ya watu waliokuwa karibu na Mohamad mtume walitoka jamii hiyoWadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake