Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.
Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.
Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.
Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.