Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kwani hakuna ajira za mkataba?SERIKALI IWEKE PIA AJIRA ZA MKATABA
Anyway, ungekuwa umeajiriwa usingeongea hvy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hakuna ajira za mkataba?SERIKALI IWEKE PIA AJIRA ZA MKATABA
Kila mtanzania lqzima achanganyikiwe kwanza.Mambo ni mengi sana 🤔
Ajira elfu 11Huenda ng'ombe wa maskini anaelekea kuzaa,usahili rushwa imetawala...
Sijapenda hii kauli yako ya kuwaita walimu waliohitim eti ni zoazoa" pamoja na kuelezea hisia zako lakin hii si sawa na haikubaliki kuwadharau walim wahitim na waliopo kazin. Maswali 50 hayatoshi kukupa walim bora na badala yake yanasaidia kupunguza candidates wa ajira husika. Kama ni walim bora ni huko vyuoni na sio kwenye usail. Pamoja na taarifa lakin sijapenda hiyo kauli ya kuita walim zoazoa. Tuheshimu profession za watu jamanWanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.
Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.
Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.
Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.
MPOTOSHAJI MKUBWA!! Usaili huo unao-base kwenye objective questions hauna uwezo wa kutenganisha pumba na ngano! Inategemea sana bahati kuwa sehemu aliyojiandaa mtu ndiyo iliyotoka. Usaili unasaidia tu kupunguza watu bila lawama!! Labda uniambie wachague kwa ku-base kwenye GPA!! Nayo hiyo ni janga jingine!! Kuna udanganyifu sana vyuoni hasa vyuo vya private!! Watu wataanza kununua GPA!! Hapo ndip[o utaratibu wa zamani ndio ulio bora na fair kuliko utaratibu mwingine wowote!! Utaratibu huo unaamini kuwa kila aliyehitimu anaweza kufundisha vizuri maana chuo chake kimethibitisha ufaulu wake na akapewa cheti!! Lakinin pia uzoefu umeonesha kuwa siyo kila aliyuefaulu vizuri ana uwezo wa kufundisha vizuri!! Hicho ni kitu kingine kabisa!!Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.
Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.
Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.
Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.
Napendekeza kuwe na mtihani kabla ya yeyote kuanza masomonya ualimu na siyo baada ya kuhitimu chuo. Yaani serikali iwe inaandaa mtihani Kwa wale wanaotarajia kujiunga vyuo vya ualimu, vyuo vya kati na vyuo vikuu kusomea ualimu hapo ndio watapata au kuendana na hicho wanachokitaka. Tofauti na hapo Ma CCM na viunga vyake ni Mbwa tu.MPOTOSHAJI MKUBWA!! Usaili huo unao-base kwenye objective questions hauna uwezo wa kutenganisha pumba na ngano! Inategemea sana bahati kuwa sehemu aliyojiandaa mtu ndiyo iliyotoka. Usaili unasaidia tu kupunguza watu bila lawama!! Labda uniambie wachague kwa ku-base kwenye GPA!! Nayo hiyo ni janga jingine!! Kuna udanganyifu sana vyuoni hasa vyuo vya private!! Watu wataanza kununua GPA!! Hapo ndip[o utaratibu wa zamani ndio ulio bora na fair kuliko utaratibu mwingine wowote!! Utaratibu huo unaamini kuwa kila aliyehitimu anaweza kufundisha vizuri maana chuo chake kimethibitisha ufaulu wake na akapewa cheti!! Lakinin pia uzoefu umeonesha kuwa siyo kila aliyuefaulu vizuri ana uwezo wa kufundisha vizuri!! Hicho ni kitu kingine kabisa!!
We ng'ombe, elimu haiwezi kuboreshwa kwa interview ya mwalimu kabla ya ajira.Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.
Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.
Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.
Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.
Huo ni upuuzi Yani mtu amemaliza chuo miaka 10 imepita Leo umfanyie usahili? Nani anawafanyia usahili mawaziri na wabunge...... huo ni ujinga mkubwa Wala si hatua,huko Kuna bias mingi Sana,unampa Mtu maswali ya kuchagua kumpima? Then oral maswali kadhaa,hii ni low level ya kupata watumishi... waongeze vigezo vya mtu kufaulu kusomea ualimu
Kama walimu waliokufundisha ni wabovu, unamaanishahata wewe ni mbuvuna unachotueleza hapa ni kibovuWanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.
Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.
Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.
Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.
Kwahiyo mitihani ya Chuoni iliyowapa vyeti haina maana? Basi kama ni hivyo, serikali watunge wao mitihani ya chuo ili wanaosupp na kukeri wadisko kwa mitihani vyuoni.Napendekeza kuwe na mtihani kabla ya yeyote kuanza masomonya ualimu na siyo baada ya kuhitimu chuo. Yaani serikali iwe inaandaa mtihani Kwa wale wanaotarajia kujiunga vyuo vya ualimu, vyuo vya kati na vyuo vikuu kusomea ualimu hapo ndio watapata au kuendana na hicho wanachokitaka. Tofauti na hapo Ma CCM na viunga vyake ni Mbwa tu.