TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

Mungu akuhurumie sana, kama unaamini usaili wa maswali hamsini ya kuchagua na maswali matano ya kujieleza unaeweza kubadilisha, Haiba, utendaji kazi, ubora, na undani wa mtu pole sana.. kuna matokeo ya form4, six na GPA, mimi usaili siwezi feli lakini hautanibadilisha chochote kitakachofanya nisilime mpunga niwapo shuleni ili mda huo niutumie kufundisha si usaili ni kipato na mazingira bora ya kazi.
Point to note.
Interview ni kitu mtu anajipanga ni sawa na Derby ya Pharaoh Zamalek vs Al ahly au Kariakoo Derby.
Ninachojua kwenye Ualimu priority number one is Commitment, readines & empathy then competence.
Ubora wa Elimu ni mojawapo na intensive assessment of learning/ teaching materials etc..
We encourage technological application in teaching/ learning process unfortunately we lack facilities & means to harness learning modality.
Taratibu tutafika we can't always compare us with neighbouring countries kwani wao wamefanya nini?
Kwa wale tuliosoma na Wakenya walichokuwa wanatuzidi ni Blah blah za Kingereza but point to consider tunawapita Wabongo tupo vizuri problem tumejifungia ndani sana tutembee kidogo tutajifunza kitu na tutajikubali maana hakuna cha maana huko Kenya na Rwanda.
 
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.

Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.

Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.

Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.

Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.​
Hizi sarakasi za Usaili kwa watu wanaohangaika kutafuta buku buku za kula mtaani hata hazina maana. Do you expect mtu ujichange nauli toka Kigoma kwenda DSM kusailiwa alafu uambulie kulamba vumbi itakupa depression kiasi gani? Watu walishazoea do or die kwa sababu ndo mfumo waliojiandaa nao. Otherwise wanawaharibia system tu vijana wa kitanzania kwenye mishe zao.

It's better wangeongeza vigezo vya mtu kusomea ualimu ili hao wahitimu watoke pure moja kwa moja vyuoni. Haya mambo mapya yatafanya tuongee mengi na naamini kila mtu atachanganyikiwa na huu UBAYA UBWELA.
 
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.

Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.

Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.

Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.

Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.​
Mimi ni mwalimu napendelea sana usaili ufanyike ili kupata mwl mahiri.Mwaka wa kumaliza si tatizo maana kama ulisoma ulaelewa sioni tatizo. Shida yetu waalimu tunaogopa usaili hii inaonesha tulikariri masomo pa si kuelewa.
 
Kwamba interview ya maswali ya kuchagua inaweza kukupa mwalimu mahiri?
 
Labda hawakujipanga vizur kulingana na idadi kubwa ya waombaji, ila hiyo interview ni njia tu ya kupunguza watu sio kwamba ndio watapata walimu bora kwa mtihani wa skumoja wa maswali ya kuchagua kuliko mitihani mingi mtu alofanya akiwa chuo mpaka kufaulu.
 
Kwamba interview ya maswali ya kuchagua inaweza kukupa mwalimu mahiri?
Tunapokupa maswali tunapima uwezo wako wa ku retreve mambo ya mda mrefu.Haiwezekani kitu ukisomee na uwe na cheti nacho then uje useme umesahau hii no kitu hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini. Sasa kama umesahau shuleni utaenda kukumbuka nini
 
PSRS mwaka huu wamejizolea umaarufu. Hizi ndio takwimu Walioitwa kwenye usaili wa ualimu/ Nafasi zinazohitajika:

WANAOHITAJIKA KWA KILA KADA YA UALIMU/WALIOITWA KWENYE USAILI
1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225

Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4

Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845
19. Lab Technician = 380/1197

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054
 
Mimi ni mwalimu napendelea sana usaili ufanyike ili kupata mwl mahiri.Mwaka wa kumaliza si tatizo maana kama ulisoma ulaelewa sioni tatizo. Shida yetu waalimu tunaogopa usaili hii inaonesha tulikariri masomo pa si kuelewa.
Ulijichimbia chimbo gani mwalimu kudeseka baada ya kuliona jina lako?

Hakuna cha umahiri wala nini ukute hapo unalaani usaili kusitishwa kwakuwa ushameza what is the test tube wataka ukateme haraka
 
😁😁😁
 
Ukiona hivyo ujue watoto na ndugu wa vigogo" wa CCM wameshindwa vibaya kuendana na "mfumo" wameamua kupanua magoli kama walivyoondoa kipengere cha ulazima wa kupitia JKT kabla ya kujiunga na jeshi
 
Sekretarieti ya Ajira
✅🇹🇿 Walimu wote, Soma maelekezo kwa kina
21. 10 walimu wote kazini MMEPITA BILA KUPIGWA🙄🙄🙄👀👀😂🤣🤣🤣🤣
Walimu wamekuwa CCM mpaka wapite bila kupingwa?.
 
Waalimu tuache kuogopa usaili hapa ni mwendo mdudo.Shukuru mungu muda umeongezwa kwa kuhairishwa usaili sasa ni nafasi ya kupiga shule mpaka panel ikashangae ilikuwaje mpaka leo upo mtaani
 
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.

Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe usaili (interview). Yani, vigezo vile vya zamani ambavyo ni umri na mwaka wa kumaliza shule ndio vitumike katika kuchagua watu wa kujaza nafasi hizo.

Ni masikitiko yetu wadau wa elimu kwamba tulikua tumeanza kupiga hatua kubwa kwenye kuboresha na kubadilisha kabisa ubora wa elimu yetu kwa kuchuja walimu wetu kwa kuzingatia merits na sio kuzoa zoa kama ambavyo ilikua inafanyika.

Najua Profesa Mkenda atakua anasikitika sana huko aliko maana najua yeye ni mdau mkubwa sana wa merits and competence.

Naomba kusisitiza, hizi bado ni tetesi na taarifa rasmi itatolewa na Mamlaka husika. Hongereni mliokua against interview ila mjue ni kaburi la elimu yetu na tutaendelea kuwa inferior ukilinganisha na wenzetu wakenya na wanyarwanda.​
Wewe ni muongo ulicho ongea ni hisia zako, sababu zilizo sitisha usaili kufanyika hazina mahusiano yeyote na hicho unacho kisema
 
Wewe ni mwalimu?
Utumishi huu mzigo hawawezi kabisa, sijui ni punguani gani alipeleka hili wazo..
View attachment 3128143
sisi wengine tulijua toka mapema utumishi hatoboi na tukasema humu mapema hii kitu waachie Tamisemi na ikiwezekana kila halmashauri ipewe vibari vyake vya kuajili hali ni tete walimu wanaacha kazi kwa wingi sana kuliko kada zingine afu hao walimu kabla ya kupata hivyo vyeti wanapitia mchakato mgumu sana ni vile kada zingine hazijui, ushauri watu Tamisemi iachiwe kada ya Afya na elimu kama mwanzo.
 
Tunapokupa maswali tunapima uwezo wako wa ku retreve mambo ya mda mrefu.Haiwezekani kitu ukisomee na uwe na cheti nacho then uje useme umesahau hii no kitu hatari sana kwa ustawi wa elimu nchini. Sasa kama umesahau shuleni utaenda kukumbuka nini
Kwaiyo wewe kwa mawazo yako, intavyuu ndio itaboresha elimu nchini?
 
Mungu akuhurumie sana, kama unaamini usaili wa maswali hamsini ya kuchagua na maswali matano ya kujieleza unaeweza kubadilisha, Haiba, utendaji kazi, ubora, na undani wa mtu pole sana.. kuna matokeo ya form4, six na GPA, mimi usaili siwezi feli lakini hautanibadilisha chochote kitakachofanya nisilime mpunga niwapo shuleni ili mda huo niutumie kufundisha si usaili ni kipato na mazingira bora ya kazi.
Uko sahihi mkuu, ubovu wa elimi yetu hausababishwi na namna walimu wanavyopatikana, tatizo ni masilahi, muundo wa elimu na ufuatiliaji mbovu kwa waliopewa jukumu la kusimamia elimu.

Usaili ni tatizo jingine ambalo litazalishwa kwa kuchochea rushwa na kuongeza mrundikano wa walimu wasiokuwa na ajira mitaani.
Big up sana mkuu 👏👏
 
Back
Top Bottom