TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

Huenda ng'ombe wa maskini anaelekea kuzaa,usahili rushwa imetawala...
 
Those coc suckers mazafakaz have revealed our ids to our employees and dump us , fuc$ the government
 
Shida siyo usaili ,, naona tatizo haki haitendeki hasa kwa wahitimu wa muda mrefu 2015 mpaka 2018 ,, wahitimu hawa wenzao wengi walishaajiriwa kwa mfumo ule ule wa zoa zoa ,,, na hata kipindi kile ajira zinatoka watu walikuwa wanahoji

Inawezekana vipi ,, ajira zinatoka unamuacha mwalimu wa kiswahili aliyehitimu 2015 unachukua mwalimu wa kiswahili aliyehitimu 2020 ,, tena kigezo kikiwa ni mwaka wa kuhitimu na umri ????

Pindi lilipoulizwa swali hili watu walikuja juu ,, wengine wakadai tuache wivu ,, tuwe kimya,, zamu zetu zikifika tutapata kazi ,,


Haya leo hii yule mliemwambia utulie ,, zamu yake ikifika atapata tu kazi na yeye ,, mnamwambia hapana huwezi pata kazi kwa kusubilia inabidi ufanye mtiani ndiyo fanya mtiani ushindane na wadogo zako waliohitimu 2020 , 2021 , 2022 ,,2023 ukiwapita hao ndiyo tutakupa kazi ,,, je katika hali ya kawaida nani umemtengenezea mazingira ya kuibuka mshindi hapo ?? Je usaili huu tutasema upo fair ??

Toka 2015 walipozisimamisha ajira hizi ilipaswa ndiyo waingize mfumo huu wa usahili hapo ndyo kungekuwa na fairness ..
 
Sijapenda hii kauli yako ya kuwaita walimu waliohitim eti ni zoazoa" pamoja na kuelezea hisia zako lakin hii si sawa na haikubaliki kuwadharau walim wahitim na waliopo kazin. Maswali 50 hayatoshi kukupa walim bora na badala yake yanasaidia kupunguza candidates wa ajira husika. Kama ni walim bora ni huko vyuoni na sio kwenye usail. Pamoja na taarifa lakin sijapenda hiyo kauli ya kuita walim zoazoa. Tuheshimu profession za watu jaman
 
MPOTOSHAJI MKUBWA!! Usaili huo unao-base kwenye objective questions hauna uwezo wa kutenganisha pumba na ngano! Inategemea sana bahati kuwa sehemu aliyojiandaa mtu ndiyo iliyotoka. Usaili unasaidia tu kupunguza watu bila lawama!! Labda uniambie wachague kwa ku-base kwenye GPA!! Nayo hiyo ni janga jingine!! Kuna udanganyifu sana vyuoni hasa vyuo vya private!! Watu wataanza kununua GPA!! Hapo ndip[o utaratibu wa zamani ndio ulio bora na fair kuliko utaratibu mwingine wowote!! Utaratibu huo unaamini kuwa kila aliyehitimu anaweza kufundisha vizuri maana chuo chake kimethibitisha ufaulu wake na akapewa cheti!! Lakinin pia uzoefu umeonesha kuwa siyo kila aliyuefaulu vizuri ana uwezo wa kufundisha vizuri!! Hicho ni kitu kingine kabisa!!
 
Napendekeza kuwe na mtihani kabla ya yeyote kuanza masomonya ualimu na siyo baada ya kuhitimu chuo. Yaani serikali iwe inaandaa mtihani Kwa wale wanaotarajia kujiunga vyuo vya ualimu, vyuo vya kati na vyuo vikuu kusomea ualimu hapo ndio watapata au kuendana na hicho wanachokitaka. Tofauti na hapo Ma CCM na viunga vyake ni Mbwa tu.
 
We ng'ombe, elimu haiwezi kuboreshwa kwa interview ya mwalimu kabla ya ajira.

kuna mambo mengi sana yanatakiwa kufanyika katika hili.

Wale walimu wa private wamesoma chuo kimoja na hawa wa serikali. Tofauti inakuja kwenye mazingira na motisha.

Shule zetu ni mbovu, walimu wachache, usinamizi wa walimu ni mbovu ever. Siasa zimejaa humo na unafiki wa mabosi ni nwingi.

Mke wa mkurugenzi, daktari na OCD hawafanyi kazi kikamikifu kwa kujivunia vyeo vya waume zao. Michepuko ya wakubwa imejaa kiburi na majivuno, kazi haziendi. Hii ndiyo elimu ya shule za serikali.

Tukimaliza haya sambamba na ubora wa mtaala, elimu yetu itapanda. Siyo kwa interview.
 
 
Kama walimu waliokufundisha ni wabovu, unamaanishahata wewe ni mbuvuna unachotueleza hapa ni kibovu
 
Kwahiyo mitihani ya Chuoni iliyowapa vyeti haina maana? Basi kama ni hivyo, serikali watunge wao mitihani ya chuo ili wanaosupp na kukeri wadisko kwa mitihani vyuoni.

Sidhani kama umejiuliza kuhusu mwalimu aliyemalixa chuo 2015 leo miaka 9 yuko mtaani anapambana na maisha kuendesha familia, leo unamshindanisha na aliyemaliza chuo 2023. Maana yake unamkataa aliyemaliza zamani kwani amekaa muda mrefu akipambana na mambo ya kila siku, hapo knowledge lazima itokomee mbali kidogo.

Interview ni nzuri sana, lakini wadanyiwe pale wanapomaliza chuo tu na watakaofaulu majina yao yakae kwenye kanzi data na wabaki kusubiri ajira, hata kama watakaa mtaani miaka kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…