Tetesi: Mtangazaji wa Clouds kwenye ishu ya Chonji


Du hii ngoma kama inakimbilia 40.

Daaah hili shangingi nililiona wapi hili...... eeeeh my memory fails me! ok.... corner bar, yes, ndio....ambiance!
Ndio nani huko temeke? ni mama lishe ama mkata ushuru pale temeke stand!
 

antonyio nugasiiiiii mtoto waki tanga
 
Usikatae mkuu,hata yule jamaa mchoraji wa vikatuni ambaye alikuwa mtangazaji pale clouds nae ni muuza bwimbwi mkubwa

Haa! Mungu wng! Huyu huyu wajina wangu! Huyu huyu kuna kipindi tulikuwa tunaswali msikiti mmoja!
Huyu huyu Maisha +! Huyu ambae katuni zake zinapinga utendaji mbovu wa serikali!
Mkuu hujachanganya madesa kweli? sasa mbn kila siku katuni zake zinaipinga serikali ya chama!
 
Jamani nampendaga huyu mkaka na kipindi chake....loooh

Endelea kumpenda tu, kuuza sembe ni sawa na kuuza meno ya tembo, kufanya ufisadu serikalini, na biashara nyingine yoyote ile, mbaya ni kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…