Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
hamna kapicha?
Ntakutumia picha yangu...shikamoo Madamee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna kapicha?
Haya mpenzi basi usinisahau kwenye ufalme wako....
Ntakutumia picha yangu...shikamoo Madamee...
Duuu kama Nugaz na yeye anauza bwimbwi basi ipo siku na yeye atakuja kuwa teja.
Usikatae mkuu,hata yule jamaa mchoraji wa vikatuni ambaye alikuwa mtangazaji pale clouds nae ni muuza bwimbwi mkubwa
![]()
Du hii ngoma kama inakimbilia 40.
habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi
inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila alifanikiwa kuruka ukuta na kukimbia kwa spidi ya ajabu
uzuri ni kwamba huwa anaonekana kwenye tv na watu wakamtambua...ni mweupe, anaongea kwa maringo sana
na jina lake linaanza na an na la pili linaanza na nu
hustle or die tryin
Usikatae mkuu,hata yule jamaa mchoraji wa vikatuni ambaye alikuwa mtangazaji pale clouds nae ni muuza bwimbwi mkubwa
Jamani nampendaga huyu mkaka na kipindi chake....loooh
why clouds kuna mashoga sana?
Umetema nyongoClouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Kuna wagonjwa gani wa ukimwi huko?Clouds ya Vilaza na wasiojitambua,wagonjwa wa ukimwi,wauza sembe na matapeli wa wasanii
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Aiseee!Swahiba ANTONIO NUGAS wa kambi popote
AiseeeSwahiba ANTONIO NUGAS wa kambi popote
Bado wampenda? 😛Jamani nampendaga huyu mkaka na kipindi chake....loooh