Tetesi: Mtangazaji wa Clouds kwenye ishu ya Chonji

Tetesi: Mtangazaji wa Clouds kwenye ishu ya Chonji

attachment.php

Du hii ngoma kama inakimbilia 40.

Daaah hili shangingi nililiona wapi hili...... eeeeh my memory fails me! ok.... corner bar, yes, ndio....ambiance!
Ndio nani huko temeke? ni mama lishe ama mkata ushuru pale temeke stand!
 
habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi
inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila alifanikiwa kuruka ukuta na kukimbia kwa spidi ya ajabu
uzuri ni kwamba huwa anaonekana kwenye tv na watu wakamtambua...ni mweupe, anaongea kwa maringo sana
na jina lake linaanza na an na la pili linaanza na nu

hustle or die tryin

antonyio nugasiiiiii mtoto waki tanga
 
Usikatae mkuu,hata yule jamaa mchoraji wa vikatuni ambaye alikuwa mtangazaji pale clouds nae ni muuza bwimbwi mkubwa

Haa! Mungu wng! Huyu huyu wajina wangu! Huyu huyu kuna kipindi tulikuwa tunaswali msikiti mmoja!
Huyu huyu Maisha +! Huyu ambae katuni zake zinapinga utendaji mbovu wa serikali!
Mkuu hujachanganya madesa kweli? sasa mbn kila siku katuni zake zinaipinga serikali ya chama!
 
Jamani nampendaga huyu mkaka na kipindi chake....loooh

Endelea kumpenda tu, kuuza sembe ni sawa na kuuza meno ya tembo, kufanya ufisadu serikalini, na biashara nyingine yoyote ile, mbaya ni kutumia.
 
Back
Top Bottom