TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

kipa wa billioni 3,mo sintomsamehe
 
Skauti walikua wanapiga pesa wanashindia Chanika badala ya kwenda kufanya scouting... mwishowe wanavizia Kupiga roba wachezaji wa timu nyingine Airport...
 
Chanzo cha purukushani zote hizi ni hii kitu hapa ✋

Hakuna kingine. 😁
 
Kumbe kalazimishwa. Nikajua yeye binafsi kajitafakari kaona hafai tena kuiongoza Simba kama Mwenyekiti wa club.
 
Hapana mkuu..... Usifike huko..[emoji23][emoji23]
 
Si mlimchagua wenyewe baada ya kumleta Manzoki??

Na alisema aliwaahidi kumchapa mtani na alimchapa, mkampa kura zenu mkisema hamumdai na hana baya( kama ilivyo desturi yenu).

Leo mnamgeuka tena dooh
Makolo ni vigeu geu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…