TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

Skauti walikua wanapiga pesa wanashindia Chanika badala ya kwenda kufanya scouting... mwishowe wanavizia Kupiga roba wachezaji wa timu nyingine Airport...
 
Chanzo cha purukushani zote hizi ni hii kitu hapa ✋

Hakuna kingine. 😁
 
Kama heading inavyojieleza kwa story za jikoni kabisa na tetesi nilizozipata kutoka ndani ya Simba zinaeleza, mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amepewa saa kadhaa ya kujiuzulu nafasi yake.

Viongozi na wajumbe na wanachama wa Simba wameanza kunyoosheana vidole wakituhumiana kwa usaliti ndani ya klabu.

Stay turned...View attachment 2806883
Kumbe kalazimishwa. Nikajua yeye binafsi kajitafakari kaona hafai tena kuiongoza Simba kama Mwenyekiti wa club.
 
Tumezidiwa katika biashara,mazonge zonge na fitna za soka.
Wenzetu wanatumia pesa zinazochotwa serikalini kuhakikisha wanamiliki soka la ndani.
Simba inaweza kuwa inashindana na nguvu kubwa siyo ya kisoka bali ya unazi wa maguru wa ufisadi serikalini.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu..... Usifike huko..[emoji23][emoji23]
 
Si mlimchagua wenyewe baada ya kumleta Manzoki??

Na alisema aliwaahidi kumchapa mtani na alimchapa, mkampa kura zenu mkisema hamumdai na hana baya( kama ilivyo desturi yenu).

Leo mnamgeuka tena dooh
Makolo ni vigeu geu
 
Back
Top Bottom