Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kalazimishwa. Nikajua yeye binafsi kajitafakari kaona hafai tena kuiongoza Simba kama Mwenyekiti wa club.Kama heading inavyojieleza kwa story za jikoni kabisa na tetesi nilizozipata kutoka ndani ya Simba zinaeleza, mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amepewa saa kadhaa ya kujiuzulu nafasi yake.
Viongozi na wajumbe na wanachama wa Simba wameanza kunyoosheana vidole wakituhumiana kwa usaliti ndani ya klabu.
Stay turned...View attachment 2806883
KONO LA NYANIChanzo cha purukushani zote hizi ni hii kitu hapa ✋
Hakuna kingine. 😁
Mtu anaitwa Mangungu unafikiri ana akili? Jina hili linatofauti gani na la Sultani Mangungo of Msovero aliyempa Carl Peters himaya yake bure?Aisee huyu Mangungo huwa sikuelewi...na ukizingatia alikuwa Mbunge wa CCM!
Hapana mkuu..... Usifike huko..[emoji23][emoji23]Tumezidiwa katika biashara,mazonge zonge na fitna za soka.
Wenzetu wanatumia pesa zinazochotwa serikalini kuhakikisha wanamiliki soka la ndani.
Simba inaweza kuwa inashindana na nguvu kubwa siyo ya kisoka bali ya unazi wa maguru wa ufisadi serikalini.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app