Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Mimi ni Yanga ila nawashangaa simba upumbav walioufanya kumuacha Manzoki... Na nimeona ktk mitandao ya kijamii Manzok amewahi kuandika anapenda kucheza pamoja na Aziz Ki na Mayele... Hivi hamjiulizi kwanin Yanga hawakusita kuvunja bank kumnunua Aziz Ki..? Si mnaona balaa lake uwanjani... Ukweli ni kwamba Yanga imetumia pesa nyingi kwa Aziz Ki nadhan ndio maana jamaa anajituma sana uwanjani pamoja kwamba ana uwezo mkubwa ila anajituma sana... Simba kiukweli hakuna mfungaji magoli wakutegemewa pale, nina imani michuano ya kimataifa simba this time haitafika Robo Fainali...
Unawashangaa simba kwa kumuacha? Kwa nini usiwashangae yanga kwa kutokumsajili au kuchelewa tu kumsajili.
 
Mleta mada mbinu yako n nzuri Sana

Najua hapa umetumia njia ya kuwatumia wapinzan ili Simba waharakishe dili la manzok

Kwa vile viongoz wa simba tunao humu mitandaoni bila shaka watalifanyia Kaz Jambo lako
 
shida ya yanga ni central defender sijui kwann wanahangaika na washambuiaji wakati wanao kibao, mpk beki ya kati hakuna combination nzuri yanga huwa naconcede kizembe sana
 
Aliekwamisha dili la MANZOKI ni Klab yake ya sasa.

Kuna tetesi nyingine zinasema Simba inampeleka Mzungu Singida na kubadilishana na Mbrazil.

Huyo Manzoki ana mkataba tayari wa Simba na atasajiliwa free dirisha dogo likifunguliwa.
Labda wabadilishane na Kagere
 
Kwa nilivyoiona Yanga, ni ngumu kumsajili Manzok, ni ngumu sana hapo, Labda acheze kama mshambuliaji wa pembeni ila kama kati pamejaa.
 
Mleta mada mbinu yako n nzuri Sana

Najua hapa umetumia njia ya kuwatumia wapinzan ili Simba waharakishe dili la manzok

Kwa vile viongoz wa simba tunao humu mitandaoni bila shaka watalifanyia Kaz Jambo lako
Arafat yuko Uganda ndugu yangu na manzoki kama sikosei hata rwanda hakwenda na team yake ya vipers, nafikiri yanga wamefika dau, hili litakuwa pigo takatifu baada ya lile la Mbuyi twite
Siyo kufanyia kazi, labda waanze kufanyie kazi namna ya kujitetea lakini inasikitisha sana kwa kweli mzaha mkubwa sana umefanyika
 
Mimi ni Yanga ila nawashangaa simba upumbav walioufanya kumuacha Manzoki... Na nimeona ktk mitandao ya kijamii Manzok amewahi kuandika anapenda kucheza pamoja na Aziz Ki na Mayele... Hivi hamjiulizi kwanin Yanga hawakusita kuvunja bank kumnunua Aziz Ki..? Si mnaona balaa lake uwanjani... Ukweli ni kwamba Yanga imetumia pesa nyingi kwa Aziz Ki nadhan ndio maana jamaa anajituma sana uwanjani pamoja kwamba ana uwezo mkubwa ila anajituma sana... Simba kiukweli hakuna mfungaji magoli wakutegemewa pale, nina imani michuano ya kimataifa simba this time haitafika Robo Fainali...
Acha uchawi mlishinda ngapi jana
 
Arafat yuko Uganda ndugu yangu na manzoki kama sikosei hata rwanda hakwenda na team yake ya vipers, nafikiri yanga wamefika dau, hili litakuwa pigo takatifu baada ya lile la Mbuyi twite
Siyo kufanyia kazi, labda waanze kufanyie kazi namna ya kujitetea lakini inasikitisha sana kwa kweli mzaha mkubwa sana umefanyika
Kama itakuwa n kweli basi litakuwa pigo takatifu mkuu

Lakn viongoz wa yanga n watu wa show off tu wakat mwingne hufanya haya na kujiwekeza karibu na watu maarufu kuwaumiza wapinzan tu
 
Back
Top Bottom