Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Magori alikuwa geresha tu kwenye usajili mastermind ya sajili zote zilizotukuka simba alikuwa zakaria hanspope r.i.p
Nasema tu wewe huijui simba
Ohooooo asante sana mkuu basi RIP simba sababu mastermind keshakufa,na mastermind akiamka leo kutoka kaburini atapiga watu risasi KWA HASIRA ...sasa magori hakujifunza hata kitu kimoja cha kusaidia, sababu yeye personally kaenda Uganda kuhangaikia deal la manzoki kafeli leo tunaambiwa kwani manzoki kitu gani?

Sasa kama magori CEO alikuwa geresha kulikuwa na mastermind Hanspope nyuma, hili geresha la sasa nani mastermind wake anayetuletea kina Dejan, TAFADHALI NIJIBU WEWE UIJUAYE SIMBA VIZURI
 
Ina manaa social media hamjaona hizi tetesi, mimi niko serious siyo utani,kama ilishindikana manzoki nini tatizo likawa kwenda kutafuta strikers wengine afrika? au mzungu kaja bure?
Mzungu alikuwa hana timu misimu miwili iliyopita, kaja bure huyo
 
Ohooooo asante sana mkuu basi RIP simba sababu mastermind keshakufa,na mastermind akiamka leo kutoka kaburini atapiga watu risasi KWA HASIRA ...sasa magori hakujifunza hata kitu kimoja cha kusaidia, sababu yeye personally kaenda Uganda kuhangaikia deal la manzoki kafeli leo tunaambiwa kwani manzoki kitu gani?

Sasa kama magori CEO alikuwa geresha kulikuwa na mastermind Hanspope nyuma, hili geresha la sasa nani mastermind wake anayetuletea kina Dejan, TAFADHALI NIJIBU WEWE UIJUAYE SIMBA VIZURI
Umeuliza kimhemko sana na sitokujibu
 
Mzungu alikuwa hana timu misimu miwili iliyopita, kaja bure huyo
kwa ubahili uliopo hilo naamini, huwezi niambia eti afrika nzima walikosa striker , EMBU ANGALIA LILE JITU NAMBA 9 LA ST GEORGE, JAMAA LA IVORY COAST , yaanai dah
 
kwa ubahili uliopo hilo naamini, huwezi niambia eti afrika nzima walikosa striker , EMBU ANGALIA LILE JITU NAMBA 9 LA ST GEORGE, JAMAA LA IVORY COAST , yaanai dah
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza.. Tuendelee KUMTIA moyo Babra ten teh teh teh
 
Umeuliza kimhemko sana na sitokujibu
kwa sababu huna jibu wewe acha kujifanya janjajanja, basi tufanye simba imekufa kiusajili na mastermind Hanspope
na huyu dada ni geresha tu nyuma yake kuna MASTERMIND LIJINGA KABISA LILILOTIBU TATIZO LA NAMBA 6 NA 9 KWA USAJILI WA AKPAN NA DEJAN
 
kwa ubahili uliopo hilo naamini, huwezi niambia eti afrika nzima walikosa striker , EMBU ANGALIA LILE JITU NAMBA 9 LA ST GEORGE, JAMAA LA IVORY COAST , yaanai dah
Magori tunaye hpa tbta Kila siku anakili kuwa manzoki mpaka hawe huru wamchukue lkni pesa wanayotaka hao vipers babra kakataa kutoa mzgo
 
Magori tunaye hpa tbta Kila siku anakili kuwa manzoki mpaka hawe huru wamchukue lkni pesa wanayotaka hao vipers babra kakataa kutoa mzgo
asante kwa hilo jibu mkuu wengi tulihisi hivyo sababu hata ile picha wakiwa dsm na magori alivyokuja na vipers alikuwa very happy
Ukiangalia body language wakati vipers na yanga walipogongana taifa kwenye mazoezi unaona bangala na moloko walikuwa happy kuongea na manzoki kuliko mayele , manzoki kamuweka sana benchi mayele huko as vita usije ukakuta hata walikuwa wanarushiana misumari
 
Viongozi wa Yanga kupitia kwa Rais wao Eng Hersi Saidi alishasema kuwa Yanga wameshamaliza usajili, hizo tetesi sijui za Manzoki au Dario Jr(Mbrazili) ni kusogeza tu siku mbele.
Kama Simba wanataka kumchukua Manzoki wamchukue tu haina haja yoyote ya kutengeneza Kiki, Yanga washafunga usajili.
 
kwa sababu huna jibu wewe acha kujifanya janjajanja, basi tufanye simba imekufa kiusajili na mastermind Hanspope
na huyu dada ni geresha tu nyuma yake kuna MASTERMIND LIJINGA KABISA LILILOTIBU TATIZO LA NAMBA 6 NA 9 KWA USAJILI WA AKPAN NA DEJAN
bado mdogo kumbe
unajua aliemleta chama simba
peter banda
mosses phiri
gerson fraga
emmanuel okwi
shomari kapombe baada ya kutoka azam

Morison?
Wapo wengi sana
 
bado mdogo kumbe
unajua aliemleta chama simba
peter banda
mosses phiri
gerson fraga
emmanuel okwi
shomari kapombe baada ya kutoka azam

Morison?
umeamua kujibu siyo umeahirisha kususa? iwe Kaburu, iwe Hanspope, iwe aveva.....tunazungumzia situationya sasa hivi hapa kama unamzungumzia marehemu era yake ishapita, nani mastermind aliyeamua kutibu tatizo la namba6 na 9 kwa kuwaleta akpan na dejan?
Hu ubahili wa aina gani jamani?
 
Timu haiwezi kusajili kwa mihemuko kutoka kwako
Kila kitu kina mipango yake kwani dirisha la usajili limefungwa?
Na wewe kwa akili zako timamu unahisi Barbra anasajili tena? labda aletewe mzungu mwingine wa bure toka serbia ili amtoe banda kwa mkopo au amuuze sakho kama anavyorudiarudia kila siku kwenye interviews zake
 
Yanga wanaongoza kwa tetesi, mara mzungu wa singida wanabadilishana na Moloko.

Sasa wapo kwa manzoki..

Ni tetesi tu
naomba tetesi hizi zisiwe za kweli zitaumiza wanasimba wengi roho sana sana tu kwa sababu tatu kuu:TULIAMINISHWA *KWAMBA SIMBA INAPATA MCHEZAJI YOYOTE INAYEMTAKA ILIMSHINDWA ADEBAYOR TU
*USHAMBULIAJI BADO NI BUTU SANA
*INAONYESHA TEAM HAINA MISULI YA KUPATA WACHEZAJI QUALITY ZAIDI YA MBWEMBWE ZA KUSHANGILIA KUINGIA BIG DEALS ZA WADHAMINI
 
Kwahiyo bila Manzoki hakuna Simba Tena????? mkuu afya yako ya akili haipo sawa labda
we ni mjinga sana, bila manzoki kuna dejan, hivi ushajiuliza vipi kama upande wa pili wana manzoki na mayele kama double strikers halafu huku una kiyombo na dejan, get out here, fool.
Na hao viongozi wapuuzi waliokimbia bei ya kumnunua afrika nzima hawakuona mchezaji mwingine? yes inamanisha no manzoki no simba attacking line ndiyo maana wanamtegea wamchukue bure december
 
Back
Top Bottom