Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Simba wanaongoza ligi Yanga hili hawataki,chakufanya nikuwagombanisha simba na mashabiki zake morali ya kusapoti timu ipungue...Manzoki kweli anaweza kwenda yanga ila huu usajiri utakua wakimkakati sana sio wakujaza nafasi kwenye timu yao

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
dejan kanunuliwa sh ngapi? kweli hata hapo congo tulikosa striker? hata ivory coast, ghana, cameroon???hawa viongozi we nawaamini hiyo story ya millions 400 kuna siku tutasikia ukweli wa upande wa pili

Mimi asilimia kadhaa nishaanza kupoteza nao imani inawezekana hata morison, manara na yule jamaa aliyegombana na Barabra alipokataa mabilioni ya azam tv wana ka ukweli fulani kwenye tuhuma zao kwa barbara
 
Ni shida sana kujibu maswali yako ya kitoto.

Kama hujui Walioianzisha Simba utakuwa ni toto jinga wewe ila nakushauri tu ingia Google utapata kila jibu la swali lako kijana

Kama hii ni kweli, basi kuna kazi sana Simba, na ngonjera za We are unstoppable ni porojo tupu.
 
Simba wanaongoza ligi Yanga hili hawataki,chakufanya nikuwagombanisha simba na mashabiki zake morali ya kusapoti timu ipungue...Manzoki kweli anaweza kwenda yanga ila huu usajiri utakua wakimkakati sana sio wakujaza nafasi kwenye timu yao

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
why not wanapiga double striker pale mbele kama mna mabeki wa kupanda hakuna atakayethubutu kutoa mguu wake huko nyuma, manzoki ni mkali kuliko mayele, yuko fast, mrefu aanakimbia anapiga chenga

he is lethal, kama unahitaji kufika nusu fainali ya afrika basi unahitaji mtu kama yule na mayele pembeni na aziz ki kama ni kweli niamini mimi yanga in 2 years itatisha sana afrika
 
Uto wqnamchukua bobosi
 
naomba tetesi hizi zisiwe za kweli zitaumiza wanasimba wengi roho sana sana tu kwa sababu tatu kuu:TULIAMINISHWA *KWAMBA SIMBA INAPATA MCHEZAJI YOYOTE INAYEMTAKA ILIMSHINDWA ADEBAYOR TU
*USHAMBULIAJI BADO NI BUTU SANA
*INAONYESHA TEAM HAINA MISULI YA KUPATA WACHEZAJI QUALITY ZAIDI YA MBWEMBWE ZA KUSHANGILIA KUINGIA BIG DEALS ZA WADHAMINI

Yote tisa, kumi ninachojiuliza, viongozi wa Simba wanapata wapi ujasiri kujiita wao eti ni Unstoppable? Kauli yenyewe haitekelezeki kwani mechi na mtani wamekua STOPPED!
 
Uto wqnamchukua bobosi
hata hapo watakuwa wamefanya la maana that means wanajitambua sana ,bobosi bonge la kiungo na kama tunaambiwa mchezaji mwenye mkataba wa miezi miwili anatakiwa alipe milioons 400 je bobosi sasa?
Naamini kuna mengi sana tunadanganywa na hawa viongozi wetu ila yatakuja julikana tu na mdogomdogo wanaanza kuumbuka
 
Kama hii ni kweli, basi kuna kazi sana Simba, na ngonjera za We are unstoppable ni porojo tupu.
Kuna kushinda na kuna kushindwa, usipokubaliana na hali hizo utakuwa sio mshindani.

Porojo ktk kandanda ni jambo la kawaida ila washindanao mshindi huwa ni mmoja tu na sio zaidi.

Simba inakubaliana na hali zote
 
Deal la Manzoki linaweza kumuexpose kubaya Babra, ajitafakari na saga hili litamfanya achukiwe sana na pia litaibua vitu vingi nyuma ya pazia.

Club kama Simba ni ya kumudu kumuongezea Mkataba Mzamiru, kumnunus Kyombo, Dejan, kumlipa mshahara Boko na Nyoni ila kumnunua Manzoki ndo iwe kazi?

Hivi kwa akili tu ya kawaida kweli kuna team Africa itakubali imuachie striker mwenye kaliba ya Manzoki for free?
 
labda asingekataa zile bilions 3 za azam kwa mwaka kusingekuwa na kilio cha kukosa hela ya manzoki.....ni suala la muda tu mengi yataanza kuhojiwa sababu yale mambo ya yes madam watu wanaanza kuyakataa mtandaoni
 
Simba kuna shida kwenye management! Sisi tuliokuwa na msimu mbovu last year mpaka sasa tunabahatisha! Lawama kwa viongozi! Au Try again anashindwa kujisimamia!
 
Simba scouting yetu ni very poor! Kuliko mzungu si bora yule mfungaji bora wa Zambia kama Manzoki tumeshindwa! Hii timu ndio walimaliza usajili hii?
 
Pumba tupu. Aliyekwambia mpira ni urefu nani? Au ndo nyie wadada mnaoshabikia mpira kwa msukumo wa waume zenu?

Miquisone, Sakho na sampuli nyingine kama hizo shughuli yao inafahamika kwenye pitch.

Sakho hadi kachukua kiatu kwa goli bora Africa nzima na ufupi wake. Acheni kufikiria mambo kwa mazoea.
Shughuli ya Sakho anaijua nani mzee? Mchezaji mfupi kama PUMBU, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikikuuma ichomoe taratiiiiibu usije ikakuchubua sasa.
 
Simba kuna shida kwenye management! Sisi tuliokuwa na msimu mbovu last year mpaka sasa tunabahatisha! Lawama kwa viongozi! Au Try again anashindwa kujisimamia!
Ndiyo maana labda naanza kuamini maneno ya wengi kwamba maamuzi mengi ya bodi yule dada anayakataa ..unajua abdul sopu walivyoshindwana?
simba wanataka watoe milions 60 miaka 3 , dogo anataka milions 40 miaka 2 sababu hataki kuji commit muda mrefu, dada kakasirika kamfata kiyombo
 
Barbara ni mbeba mafaili tu mkaona mumpe uCEO, Hizi timu haziitaji sana viongozi wasoma vitabu darasani bali wajua umafia wa mpira
 
Simba scouting yetu ni very poor! Kuliko mzungu si bora yule mfungaji bora wa Zambia kama Manzoki tumeshindwa! Hii timu ndio walimaliza usajili hii?
Yes Ricky banda hata kampamba kiungo mkabaji walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kumpata wakalegea sasa naona hadi team ya ujerumani ishaweka dollar millions 1 mezani kumchukua toka zesco
 
Barbara ni mbeba mafaili tu mkaona mumpe uCEO, Hizi timu haziitaji sana viongozi wasoma vitabu darasani bali wajua umafia wa mpira
hapo ndo anaposhindwa, akili zake ni za darasani maana naskia hata university huko london alikuwa kichwa kwelikweli
sasa wazee wa fitna kama kina kassim dewji, rage, kaduguda kila siku malalamiko tu tumewazodoa sana hawa wazee
lakini labda Mungu kaamua tu kidoogo kuwaaibisha viongozi wetu tushuhudie namna hata kusajili namba 6 na 9 walivyoshindwa
 
Back
Top Bottom