kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
NdioWe ni punguani au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioWe ni punguani au?
Alafu kile kidada ni kijeuri na kibishi ndo mana kinafeli analeta usomi katika soka la bongo🤣🤣hapo ndo anaposhindwa, akili zake ni za darasani maana naskia hata university huko london alikuwa kichwakwelikweli
sasa wazee wa fitna kama kina kassim dewji, rage, kaduguda kila siku malalamiko tu tumewazodoa sana hawa wazee
lakini labda Mungu kaamua tu kidoogo kuwaaibisha viongozi wetu tushuhudie namna hata kusajili namba 6 na 9 walivyoshindwa
Mh hizi ni tetesi tuache ziwe tetesi.[emoji3578]Ni kweli Makamu wa Rais wa Yanga Bwana Arafat Haji yupo nchini Uganda.
[emoji3591]Ni kweli Yanga wanavutiwa na huduma ya Caesar Lobi Manzoki
[emoji3591]Ni kweli kuna Tetesi za Kambole kumpisha Manzoki.
[emoji3591]Ni Kweli Jesus Moloko anatakiwa na Singida Big Stars.
[emoji3591]Ni kweli Nasredine Nabi amevutiwa na kiwango cha Dario Frederico.
#Lolote linaweza kutokea...!!
Hapo panashida kubwa sana, kulipaswa kuwa na kamati ya usajili ambayo inapewa fungu la usajili.Ndiyo maana labda naanza kuamini maneno ya wengi kwamba maamuzi mengi ya bodi yule dada anayakataa ..unajua abdul sopu walivyoshindwana?
simba wanataka watoe milions 60 miaka 3 , dogo anataka milions 40 miaka 2 sababu hataki kuji commit muda mrefu, dada kakasirika kamfata kiyombo
Sasa itakuwaje wakati mmesajili Mikimbio ya MzunguHii Simba ina viongozi wapumbavu sana sasa hivi.
Sijawahi kuona timu lina striker anasifiwa kwa mikimbio na siyo kufunga.
Yaani nitaamini maneno ya mashabiki wa kinye fc kwamba hata mashabiki wa Simba ni mbumbumbu,maana ushindi wa jana tu wameshaanza ujinga wa kujisifu wakati timu inapotezewa muda na fedha na Dejan
Ulimuona wapi huyo Manzoki amzidi Mayele?why not wanapiga double striker pale mbele kama mna mabeki wa kupanda hakuna atakayethubutu kutoa mguu wake huko nyuma, manzoki ni mkali kuliko mayele, yuko fast, mrefu aanakimbia anapiga chenga
he is lethal, kama unahitaji kufika nusu fainali ya afrika basi unahitaji mtu kama yule na mayele pembeni na aziz ki kama ni kweli niamini mimi yanga in 2 years itatisha sana afrika
Barbara ni mbeba mafaili tu mkaona mumpe uCEO, Hizi timu haziitaji sana viongozi wasoma vitabu darasani bali wajua umafia wa mpira
kwa hiyo mbadala wake ni dejan tunayeambiwa tumpe muda na offsides zake? afrika nzima wamekosa namba 9? hawa wako serious kweli kuendesha team?usimtegemee sana Manzok anaweza akatua hapa halafu agkageuka white elephant
mchezaji akiwa first 11 mwenzake wa namba moja anasubiri nje ina maana gani? FYI ilikuwa as vitaUlimuona wapi huyo Manzoki amzidi Mayele?
Mpira haupo hivyo ndugu Yanguwhy not wanapiga double striker pale mbele kama mna mabeki wa kupanda hakuna atakayethubutu kutoa mguu wake huko nyuma, manzoki ni mkali kuliko mayele, yuko fast, mrefu aanakimbia anapiga chenga
he is lethal, kama unahitaji kufika nusu fainali ya afrika basi unahitaji mtu kama yule na mayele pembeni na aziz ki kama ni kweli niamini mimi yanga in 2 years itatisha sana afrika
Hee. Mikimbio yote ile kumbe alikuwa hana timu kwa muda wa misimu miwili?Mzungu alikuwa hana timu misimu miwili iliyopita, kaja bure huyo
kwahiyo simba ni ya mjomba wako?Mpumbavu ni wewe mwenyewe unayebwabwaja hapa kama muosha vyombo wa kaunda stadium.
Tafuta hela we kishoiya kisha anzisha timu yako then sajili wachezaji uwatakao.
Simba sio yako bwashee 😁