Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

✍️Ni kweli Makamu wa Rais wa Yanga Bwana Arafat Haji yupo nchini Uganda.

➡️Ni kweli Yanga wanavutiwa na huduma ya Caesar Lobi Manzoki

➡️Ni kweli kuna Tetesi za Kambole kumpisha Manzoki.

➡️Ni Kweli Jesus Moloko anatakiwa na Singida Big Stars.

➡️Ni kweli Nasredine Nabi amevutiwa na kiwango cha Dario Frederico.

#Lolote linaweza kutokea...!!
 
Alafu kile kidada ni kijeuri na kibishi ndo mana kinafeli analeta usomi katika soka la bongo🤣🤣
 
usimtegemee sana Manzok anaweza akatua hapa halafu agkageuka white elephant
 
Mh hizi ni tetesi tuache ziwe tetesi.
 
Naipenda simba ila simpendi boss wetu MO mjanja mjanja sana na yule Monica gaztambide wake KLMM kama hamuoni mapuuza yao subirini ligi ichanganye unaleta mzungu wa nini mara akpan kapama atacheza mechi ipi ?
 
Hii Simba ina viongozi wapumbavu sana sasa hivi.
Sijawahi kuona timu lina striker anasifiwa kwa mikimbio na siyo kufunga.

Yaani nitaamini maneno ya mashabiki wa kinye fc kwamba hata mashabiki wa Simba ni mbumbumbu,maana ushindi wa jana tu wameshaanza ujinga wa kujisifu wakati timu inapotezewa muda na fedha na Dejan
 
Pre contract na simba haikuwa kwa bahati mbaya..endelea kujilisha upepo
 
Hapo panashida kubwa sana, kulipaswa kuwa na kamati ya usajili ambayo inapewa fungu la usajili.
 
Sasa itakuwaje wakati mmesajili Mikimbio ya Mzungu
 
Ulimuona wapi huyo Manzoki amzidi Mayele?
 
Acheni kufanya uchambuzi wa mchezo wa mpira wa miguu kwa kutumia uzoefu katika kubeti
 
usimtegemee sana Manzok anaweza akatua hapa halafu agkageuka white elephant
kwa hiyo mbadala wake ni dejan tunayeambiwa tumpe muda na offsides zake? afrika nzima wamekosa namba 9? hawa wako serious kweli kuendesha team?
Barbra kapishana na Sopu issue ndogo tu kakimbilia kwa kiyombo kijeuri sasa sijui kiyombo na sopu nani mfungaji
Ulimuona wapi huyo Manzoki amzidi Mayele?
mchezaji akiwa first 11 mwenzake wa namba moja anasubiri nje ina maana gani? FYI ilikuwa as vita
 
Mpira haupo hivyo ndugu Yangu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mpumbavu ni wewe mwenyewe unayebwabwaja hapa kama muosha vyombo wa kaunda stadium.

Tafuta hela we kishoiya kisha anzisha timu yako then sajili wachezaji uwatakao.

Simba sio yako bwashee 😁
kwahiyo simba ni ya mjomba wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…